Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Nairobi (AFP) – Tanzanian politicians are in shock over the massacre of hundreds of young protesters during its recent election, insiders told AFP, but are too afraid to speak out as a tiny cabal of hardliners around the president takes control.
Gruesome images of dead Tanzanians have flooded...
Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
balozi
bashiru
bashiru ally
bungeni
dkt. bashiru
dkt. bashiru ally
dodoma
jamhuri
jamhuri ya muungano
kuteuliwa
mbunge
muungano
na rais
novemba
rais
rais wa jamhuri
tanzania
tarehe
Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali
Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani
Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki
Tanzania haina amani wala haki
Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
https://www.ipu.org/about-ipu/structure-and-governance/president
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Kama ningekua kwenye nafasi shirika la kwanza kufukuza Tanzania lingekua RedCross. siku ya maandamano hawa walitakiwa kusaidia Majeruhi na kubeba waliokufa na kupigwa Risasi au kazi yao hasa Tanzania ni nini?
Mdau unaweza nisaidia kazi ya Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania ni nini hasa?
Matukio Kabla, wakati na baada ya uchaguzi, yamethibitisha kuwa Tanzania ina watawala katili kuliko nchi yoyote Duniani. Matukio haya yamethibitisha kuwa CCM ni chama cha hovyo na cha kiharamia kuliko vyama vyote Duniani. Polisi wa Tanzania wamedhihirisha kuwa ni wanyama kuliko jeshi lolote...
TAARIFA KWA UMMA
JUKATA kwa majonzi makubwa inatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote ambao wapendwa wao wameuawa, kujeruhiwa au kutoweka wakati wa maandamano yaliyozuka siku ya uchaguzi tarehe 29/10/2025. Tunalaani vikali vitendo vya kikatili vya kuwapiga risasi wananchi...
KIZAZI KISICHOKUWA NA KESHO: BOMU LINALOTIKISA TANZANIA KIMYA KIMYA
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kuna maneno ambayo yamekuwa kama wimbo wa taifa usio rasmi kila mara panapotokea vurugu:
“Hawa vijana wanaharibu! Wanachoma mali za umma! Hawana akili wala heshima!”
Lakini labda, kabla hatujatupa...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura.
Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
azzan zungu
baada
bunge
bunge la 13
bungeni
jamhuri
jamhuri ya muungano
kikao
kuongoza
kwanza
mara
mheshimiwa
mkutano
mussa azzan zungu
muungano
novemba
spika
spika wa bunge
tanzania
uchaguzi wa spika
ukumbini
zungu
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao
Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli
Bali...
Siitaji kusifiwa maana nishasifiwa sana
Ila ni mwanamke ambae kila mwanaume anamtamani
Mara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR kwa heshima watu wanatupisha kutuachia seat tena madingi na heshima zao
Tuna tembea njiani watu kupark gari kuomba watusindikize tunakoenda
NB: hii ni story kutoka...
Na Dr. Maureen Olesumba Laizer
Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara
2021 Hawkins Circle
LOS ANGELES, CA 90001-2257
USA
Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa...
Tanzanian authorities have charged at least 405 people across several regions with treason-related offenses allegedly linked to efforts to disrupt the country’s 2025 General Election, while another 172 face charges of arson, vandalism, and armed robbery.
Dar es Salaam: Prominent Businesswoman...
Tanzania dhaifu ni furaha kwa dunia!
Hii ni sababu kuu inayoniogopesha kwamba, itakuwa vigumu (but not impossible) kwa ICC (The Hague), kufungua mashitaka dhidi ya utawala wa Rais Samia Suluhu - na yeye akiwemo. Sababu ya kimaoni juu ya hili, inachagizwa na ustaarabu wa maamuzi ya kidunia...
Imagine taasisi au mtu wako upande wa mtesi wako baada ya kumu'cancel na kumignore huyo mtu unaenda kumjazia comments za matusi kwenye page yake.
Hata humu ndani mtu threads zake huzielewi ignore him/her,kumjazia matusi na kashfa ni kumpa attention ya bure.
Angalia right now attention...
“Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi.
Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu.
Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu.
Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us?
atika Afrika Mashariki, kuna...
Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25.
Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani
Kwa bahati mbaya hakuweza...