tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na Marekani (2)

    Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala iliyopita niligusia kwa juujuu, maeneo ambayo uhusiano ulikuwa mzuri, hasa kwenye huduma za kijamii...
  2. JamiiForums Tanzania Homeschooling in Tanzania

    There is an urgent need for policies to allow for homeschooling in Tanzania. At the moment the legal and policy landscape does not provide for homeschooling. Now is the time. EDIT 1: WHAT IS HOMESCHOOLING Homeschooling - Wikipedia News - Homeschooling Gains Popularity with Oregon Parents |...
  3. JamiiForums Tanzania Starbucks Yafungua mgahawa wake wa kwanza Milan, Italy

    Starbucks imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini Italia. Mgahawa huo umefunguliwa katika Jiji la Milan, kaskazini mwa nchi hiyo. Mojawapo ya kahawa zinazouzwa ni inayotoka Tanzania na inapatikana hapo kwa TZS 22,000 kwa gramu 100.
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

    Familia ya hayati Devram Valambhia ineifungulia kesi serikali ya Tanzania kwenye mahakama ya District Court ya Columbia Marekani. Kesi hii ni ya serikali kushindwa kuilipa kampuni hiyo madai yake baada ya kuuza vifaa vya kijeshi. Mwanzo lilikuwa deni la $ 55098171.- lakini kutokana na riba na...
  5. JamiiForums Tanzania Wakenya Wamshukia Magufuli Amuachie Gichana (Mfungwa wa Kisiasa kutoka Kenya)

    Kenyans online pressure Magufuli to release jailed Kenyan politician Don Bosco Gichana, a Kenyan who has been jailed in Tanzania since 2013 without trial. [Photo/Trending News Kenya] Kenyans are now piling pressure on Tanzania’s President John Pombe Magufuli to release a Kenyan who has been...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika

    Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
  7. JamiiForums Tanzania Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

    Habari wana JF, Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania - Je, ni kampuni ipii inahusika kutengeneza na kuprint pesa ya Tanzania? -Iyoo kampuni ikoo wapi na ni private au...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China-Tanzania talks over Bagamoyo port project in progress: envoy

    Source: Xinhua 2018-05-20 02:10:55 DAR ES SALAAM, May 19 (Xinhua) -- China said on Saturday good progress was being made on negotiations with the Tanzanian government on the 10 billion U.S. dollars Bagamoyo mega port and special economic zone, paving way for the long-delayed construction work...
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu ya elimu katika medani za ujasusi na ulinzi: Tanzania tuna nini cha kujifunza?

    UTANGULIZI: Kuna uzi uliwahi kuanzishwa na Ndugu Mwanahabari Huru Ambapo aliwasilisha mambo ambayo Bwana Evarist Chahali aliwahi kuyazungumza kuhusu hali ya Usalama hapa nchini. Japo dhumuni la huu uzi siyo kuyazungumzia hayo mambo bali kusema kile kitu ambacho Mkuu izzo alikiandika hadi...
  10. JamiiForums Tanzania What went wrong with The Economist?

    What went wrong with The Economist? I first encountered The Economist magazine as an undergraduate at the London School of Economics in the early 1960s. Richard Lipsey and Lord Robbins recommended it to me. It opened my eyes and I loved it. It tried to depict the world according to economic...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania: 'Dar to Become Regional Aviation Hub'

    11 JANUARY 2018 Tanzania: 'Dar to Become Regional Aviation Hub' By Abduel Elinaza DAR ES SALAAM has what it takes to become the regional aviation hub thanks to expansion of the Julius Nyerere International Airport (JNIA), domestic airlines and supporting aviation ecosystem, according to an...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania’s anti-corruption government is stifling the “Swahili Wikileaks”

    Africa SUSPENDED REALITY Tanzania’s anti-corruption government is stifling the “Swahili Wikileaks” Abdi Latif Dahir December 12, 2017 Not so rosy presidency. (AP Photo/Khalfan Said) Dar es Salaam Maxence Melo is a man who knows the insides of Tanzania’s courthouses all too well. In...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

    Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's Gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Bagamoyo port project is back with construction of 190 industries

    Chinese firm set to develop sprawling Tanzania tourist town October 3, 2017 [https://45f834269e626fd5bc92d3c0-lgqvurlx] Standing as the first town on the Tanzanian coast where early travelers anchored during their discovery missions and Christian religion expansion in Tanzania and Central...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yajitoa rasmi katika mpango wa uendeshaji Serikali kwa Uwazi (OGP)

    Tanzania imejitoa rasmi katika Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership-OGP) hatua ambayo inazua wasiwasi kuhusu utekelezaji wa sera ya uwazi na uwajibikaji iliyoasisiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete. Hatua hiyo ya kujitoa kwa Tanzania imetangazwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

    Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi. OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
  18. JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wakuu habari ya muda, Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania. Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania hivi tuko kipindi cha mpito au tuna nini?

    Yaan kila nikitafakari nakosa jibu, baada ya uchaguzi wa 2015 nilidhani kuna muda tutatulia kama taifa. Lakn ndio kwanza taifa lina hali ya sintofaham kama vile tumetoka kupinduliwa. Ukitizama sana unaweza dhani uchaguzi utafanyika kesho, siasa zimepamba moto. Lakn ukitizama kwa jicho lingine...
  20. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Rais wa Tanzania akajiuzulu kisheria?

    Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria? Kwani ni lazima amalize miaka mitano? Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi? Raisi mstaafu wa awamu iliyopita anaweza kupewa nchi kwa muda? Na kama watanzania tumemchoka hakuna mikakati yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…