tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania New internships opportunities at International Organization for Migration (IOM) - Tanzania

    New Internships Vacancies at International Organization for Migration (IOM) - Tanzania | Deadline: 06th November, 2019 AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019 CVAC Intern - [1 Position] Dar es Salaam, United Republic of Tanzania] TERMS OF REFERENCE I. POSITION INFORMATION Vacancy...
  2. JamiiForums Tanzania Ex-soldiers na elimu yetu ya Tanzania

    Asalam wakuu Kwa wale waliobahatika kusoma elimu ya sekondari nchini mwetu kuna somo moja la historia, ndani yake kuna sura moja maarufu ya harakati za kudai uhuru barani Afrika ikiwemo Tanzania/Tanganyika. Harakati hizi zilichochewa na sababu kadhaa za ndani ya nchi na nje ya nchi, mojawapo...
  3. JamiiForums Tanzania Piga kura kuchagua jina la sayari-nje ya Tanzania

    Piga kura kuchagua jina linalofaa kwa sayarinje ya Tanzania Sayarinje ni sayari zinazozunguka nyota ambazo zipo nje ya mfumo wa Jua. Tanzania tumepewa fursa ya kuipa jina sayarinje mojawapo iliyogunduliwa karibuni. Wanafunzi wa shule na wanavikundi mbalimbali wameshindanishwa kupendekeza...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia ‘Top Ten’ mazingira bora uwekezaji Afrika

    TANZANIA imeshika nafasi ya saba, katika nchi 20 zenye mazingira bora ya uwekezaji barani Afrika. Anaripoti Faki Sosi . Akizungumza na wanahabari leo tarehe 28 Oktoba 2019, Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) amesema, utafiti huo huria uliofanywa na Kampuni...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania Q2 GDP growth rises to 7.2 pct v 6.1 pct

    Tanzania Q2 GDP growth rises to 7.2 pct v 6.1 pct -statistics bureau (Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala Editing by Maggie Fick) Huwezi ukabeza juhudi za JPM anayeongoza Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya chama shupavu cha CCM. Hapa Kazi Tu. === Tanzania Q2 GDP growth...
  6. JamiiForums Tanzania 16 New Government Job Vacancies UTUMISHI at Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) | Deadline: 07th November, 2019

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/96 25th October, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 16 vacant...
  7. JamiiForums Tanzania 8 new volunteering opportunities at SNV tanzania | deadline: 03rd november, 2019

    Jobs in Tanzania 2019: New Volunteering Opportunities at SNV Tanzania, 2019 AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019 Job Title: Volunteers (8 Posts) Job Summary The volunteers will be placed at project boundary partners’ stations in the dairy and sunflower markets systems. The boundary...
  8. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku chache tu Taifa la Tanzania liingizwe katika aibu kali ya kufungia huu mwaka wa 2019 huko Misri

    Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa Watanzania ‘ Kisaikolojia ‘ na ikiwezekana hao ‘ Mabalozi ‘ wetu watakasafiti kututia ‘ Aibu ‘ huko...
  9. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    Nasubiri Bandari Kubwa ya Lamu izuie Bandari Ndogo za Dar na Mombasa: Namna Maarifa Madogo Yanavyoiua Bandari ya Bagamoyo na Kuifaidisha Kenya Kumekuwa na mijadala mikali kuhusu Mradi wa Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo. Mjadala huo wenye malumbano ya kurushiana shutuma umekuwa mjadala mbovu sana...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Tanzania ashinda medali ya silver katika mashindano ya riadha ya majeshi

    Mwanariadha Alphonce Simbu amefanikiwa kushinda medali hiyo katika Mashindano ya Majeshi ya Dunia yanayoendelea nchini China. Mwanariadha huyo ambaye ni Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, alikimbia Marathon kwa saa 2:11:16 huku akiwashinda wakimbiaji wengine 95 kutoka nchi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oil dealers now prefer Dar es Salaam over Mombasa port

    Oil dealers now prefer Dar es Salaam to Mombasa port By OTIATO GUGUYU The $60 tariff per 1,000 litres on transported fuel through Kenya Pipeline is costing Kenya revenue as landlocked countries turn to Tanzania’s Central Corridor. The value of Kenyan petroleum exports have dropped...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yataka vikwazo dhidi ya Cuba na Zimbabwe viondolewe

    SERIKALI ya Tanzania imelaani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Serikali ya Marekani dhidi ya Cuba na Zimbabwe kwa sababu vinadhoofisha biashara, uwekezaji na ustawi wa wananchi na imetaka vikwazo hivyo viondolewe. Tamko hilo limetolewa (Jumamosi, Oktoba 26, 2019) na Waziri Mkuu Kassim...
  13. JamiiForums Tanzania Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

    Habari wakuu Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima 1.Canada, Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable 2.Australia Hii nayo ina sifa kama za Canada...
  14. JamiiForums Tanzania Costantine John Kanyasu one of the smart politician in Tanzania

    Huyu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utali. Ni mmoja wa wanasiasa smart hapa Tanzania asiyekuwa na maneno mengi yeye ni Hapa kazi tu. Hongera sana Mheshimiwa Kanyasu.
  15. JamiiForums Tanzania Michezo ni chachu ya muungano wa Tanzania

    APRILI 26 mwaka huu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaadhimisha miaka 54 ya Muungano, tangu kuungana kwa iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na ile ya Tanganyika, na kupata jina moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano huo ulisimamiwa vyema chini ya viongozi wawili marehemu mzee...
  16. JamiiForums Tanzania Chozi la nchi yangu Tanzania

    Tanzania ni Jamhuri, na ni muungano wa nchi 2, yaani Tanganyika na Zanzibar,kabla ya mwaka 1884, hapakuwa na historia ya nchi iliyoitwa Tanzania, isipokuwa zilikuwa ni tawala cha kichifu, kitemi kutegemeana na makabila ya maeneo mbali mbali yalipopatikana katika eneo ambalo hapo baadae liliitwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sheria za kazi: Kufanya kazi kampuni ya nje ukiwa Tanzania

    Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa. Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani kwa kutumia software za siku hizi na internet. Sasa je unalipaje kodi? Ni kodi zipi hizo? Na ni...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ya KWANZA East Africa na ya PILI Africa kwa usambazaji umeme(eletric power).

    Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya pili Barani Afrika kwa usambaziji huduma ya umeme kwa wananchi, ikiongozwa na Afrika kusini. Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, hadi sasa Tanzania imeshasambaza umeme katika vijiji 8102 sawa na 70%
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yafuata nyayo za Tanzania kwa wahujumu uchumi

    Graft suspects who return money can enter plea bargain — Haji 25 October 2019 - 00:00 Director of Public Prosecutions Noordin Haji has asked leaders and civil servants facing corruption allegations to return the stolen money threefold or face the consequences. Haji revealed that the move is...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…