Ratiba kamili ya ujio wa Ndege yetu pendwa, CCM oyeee Mwenyekiti oyeeeTanzania oyee kazi kazi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Screenshot_20191026-083540.png
 
On that day at Mumbai Airport, removing my cap,staring at my National great Airplane and just ending saluting at it with unmuttered joy.
Everybody gazing at me as if reading what rolls in my Patriotic heart.
VIVA JPM
VIVA ATCL
VIVA TANZANIA.
 
Hahahahaaaaaa wapi hao Watanzania wanapanda ndege kwenda kwao? Wewe mwenyewe huwezo wa kupanda ndege huna, unashabikia upumbavu tu. Ndege inapokelewa hahahaaaaa, mmeanza kupokea vitu visivyo na utashi ndio mwanzo wa kuabudu sanamu.
Iko siku Mungu atachoka na kupatwa na hasira na kutoa hukumu.
Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli

Ila wakitaka kwenda kwao wanapanda ndege za Magufuli
 
Kuna wabwekaji humu mtandaoni wanamtukana Magufuli

Ila wakitaka kwenda kwao wanapanda ndege za Magufuli
Kuanzia lini Magufuli anamiliki ndege?
Ni lini Magufuli alinunua ndege kwa pesa yake mwenyewe?

Tatizo Elimu! Elimu!! Elimu!!! .
 
Hahahahaaaaaa wapi hao Watanzania wanapanda ndege kwenda kwao? Wewe mwenyewe huwezo wa kupanda ndege huna, unashabikia upumbavu tu. Ndege inapokelewa hahahaaaaa, mmeanza kupokea vitu visivyo na utashi ndio mwanzo wa kuabudu sanamu.
Iko siku Mungu atachoka na kupatwa na hasira na kutoa hukumu.
HAYAA awana uwezooo na WEWE mpumbavu unaetukana. Unapelekaaa baba na mamayakooo ATCL unahisi ndege za SHANGAZI zakooo ZILE.......ficha UPUMBAVU wakoooo
 
  • Thanks
Reactions: Ole
wanaopiga KELELE Amna TOFAUTI na
 
Attachments

  • VID-20191023-WA0115.mp4
    3.2 MB
Hivi mishahara ya wafanyakazi kuwaongezea walau laki per each inagharimu sh ngp?
 
Back
Top Bottom