Wenzetu kielimu marks wametuzidi sana, hebu fananisha grading system ya South Korea na grade yetu

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,731
10,033
South korea
images (5).jpeg
 
Na huyo ni mtoto wa secondary, hapo hajui hata kuandika....ila inatakiwa afundishwe,afundishike na afaulu.

Mungu atutie nguvu tu.
Ila shida kubwa ya waalimu wa Tanzania hamna umoja! Kataeni au kubalini. Mkipanga ka kitu kenu mnataka kufanya kwa ajili ya manufaa yenu unashangaa kesho yake kabla hakujakucha mmeshagawanyika vipande vipande na hata usiowategemea unaona wanavyonyumbulika kumtetea mtesi. Hii huwa inakatisha tamaa sana sisi wabeba zege tunaowaombea kwenye sala zetu kila siku.
 
Si ajabu hizo ni marks za watoto wa Chekechea! Au mitihani hiyo hata asiyejua kusoma na kuandika anapata hizo alama! Kifupi ufaulu wa ntihani wa karatasi peke yake siyo measure ya intelligence; Ukisoma Curriculum ya Finland hata kwenye Google ndiyo utajua wanavyowapima wanafunzi, na ni moja ya nchi zenye elimu bora kabisa duniani!
 
Back
Top Bottom