tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu anga yatakayo tokea Tanzania mwaka 2026

    Mwaka huu 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu Anga Yenye kuvutia Machoni na kushangaza. Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama vile Mwezi kubadili kuwa mwekundu, kutokea Giza la ajabu ulimwenguni, nyota zote kupotea matukio haya yataweza kujitokeza mwaka huu 2026. 🔺 Machi...
  4. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Prophetic code year 2026

    Number one means beginning New things will happen Number one means uniqueness It will be unique year Number one means wholeness 2026 2+ 0 + 2 + 6 = 10 1+0 = 1 -Also there will be new president who is Christian in Tanzania 🇹🇿 He is Chosen by God. -God will return back Tanzania in Good place.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu nimetumia sana

    Habari ya mwaka mpya 2026🔥 wakuu Binafsi nimesikitika sana kuona jwtz wakiingia barabarani tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 2026 huku nilipo. Hii ni sawa na maumivu yanayotukumbusha yaliyotokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivi kweli maisha yanaweza kuwa sawa tena kama tulikotoka.
  6. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Tanzania iwaekee shadow ban to some US citizens. 20% percent warudishwe

    Trump ni mbaguzi,wametuwekea vikwazo vya kudhalilisha. Madhali kiusalama wa nchi hatuwezi kulipa kama wao ila tutumie uswahili wetu na fitna zetu kuwazuia Baadhi ya watalii wanaokuka kiholela kutoka Marekani. Unless awe amebook hotel za kueleweka sio Airbnb na ubabaishaje mwengine.. Tutunze...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kiswahili sio lugha ya taifa la Tanzania ni lugha ya taifa la Kenya- Prof Safari

    KISWAHILI SIO LUGHA YA TAIFA LA TANZANIA NI LUGHA YA TAIFA LA KENYA- PROF SAFARI
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali za Tanzania na Zambia hazijawa makini katika kutiliana sahihi mkataba wa miaka 30 na China kuendesha TAZARA; bado tunapwaya kwenye mikataba

    Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuna shaka na walakini (conspiracy theory) katika kila kifo cha waliokuwa marais wa Tanzania isipokuwa Mwinyi peke yake

    1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
  10. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Shirika la Maji Tanzania

    Habari Tanzania Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo. Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo wa Grid ya Maji ya Taifa na kuiunganisha nchi nzima. Alafu Mamlaka za Maji Vijijini na Mijini ziwe...
  11. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hii tekateka inaweza kuwa kikundi cha kigaidi kinajiseti Tanzania

    Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
  12. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Sijapenda kabisa Tanzania kufuzu 16 bora Afcon hapo sifa zote watapewa wauaji

    Kwakweli sijapenda.. Sijafurahishwa kabisa.. Tumeshaanza kuona Samuya akipewa sifa zote.. Tayari utasikia mama this mama that.. Huyo Bashite ndio balaa atajisifu kama nini. Kifupi CCM wanachukua point tena sijapenda kabisa.. Hiyo tarehe 4 ifike haraka Morocco amalize hizi kelele..
  13. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imefuzu 16 bora AFCON kama best looser?

    Nauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser? Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2. Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania hawaiamini Mahakama? Wanahukumu kifo wenyewe. Washaua watu 4

    Polisi wameua watu 4 kwa siku moja. Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya. Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia. Nchi haina mwenye. Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati...
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

    Wanabodi, Huu ni muendelezo wa ushauri wangu kwa serikali yetu, anzia hapa Ushauri kwa Serikali: Tangazeni hata idadi ya uongo ya waliofariki. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD Ili kuisafisha nchi yetu Tanzania Kimataifa, dhidi ya kadhia ya kile kilichotokea kwenye yale...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ina uraia pacha?

    Wakuu nina swali naomba ufafanuzi. Katika team yetu ya taifa ya mpira wa miguu(taifa starts ) kuna wachezaji wageni, kwa information wengine hawajui kiswahili vizuri na inasemekana wengine walizaliwa nje ila baba au mama ni Mtanzania ila mtoto kazaliwa nje. Je, hii imekaaje hadi mtoto kuitwa ni...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelaaniwa. Eti Treni inasitisha Safari sababu ya Mvua. Mvua zipi?

    Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege. Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni? Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha. Mbona pale Buguruni reli inapita juu...
  20. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna amani ila uhuru wetu umebagazwa na kubanangwa

    My people, Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki Haki huja baada ya amani kuwepo sehemu yoyote ile duniani,kwani uwepo wa amani ndio hufungua kurasa nyingine za mazungumzo...
Back
Top Bottom