tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali ya ziara ya Rais Paul Kagame nchini Tanzania, Mei 3, 2026

    Matukio mbalimbali katika Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kikazi Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda, Pau Kagame awasili nchini, akutana na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam

    Wanabodi, Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu) Paskali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia kwenye ramani ya Dunia katika uzalishaji na Msambazaji wa Gesi ya Helium

    SONGWE: Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa Mkataba wa Uchimbaji wa gesi hiyo baina ya Serikali na kampuni ya Helium One Global Limited kupitia...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Natamani Tanzania ingeanza program ya kubomoa slums na kuanza kujenga maeneo kama haya

    Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana. Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu. Serikali...
  7. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

    Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tuambie nikwa vipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni au Utegemezi

    Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi 1. Idadi ya watu milion 67+ 2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65) 3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili Ongezea hoja hizu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kundi la makampuni la AMSONS la Tanzania kujenga hospitali 10 nchini Kenya kwa dola milioni 40 za Marekani

    May 2 2026 Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
  10. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Vyeo vya Kijeshi vya Jeshi la Wananchi Tanzania: Imetokana na Historia niliyowahi kuitoa kuhusu Kanali Ali Mahfoudh

    Nimeulizwa pahala, eti Hussein kwani Kanali anakuwa na nyota ngapi?😂. Nadhani ni kutokana na tarehe (historia) ya Kanali Mahfoudh niliyowahi kuitoa siku ya kumbukumbu za kifo cha Sheikh Abeid Aman Karume. Sikumbuki vizuri, maana mimi siyo mwanajeshi. Ila angalau nilipita miaka ya nyuma kidogo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kumfukuza mtumishi wa Umma Mzembe kazini | Salamu za Meimosi kutoka kwa David Kafulila

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  13. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani

    Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Betting nchini Tanzania - Neema ya Kiuchumi au Janga la Kitaifa?

    Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho yote kuwa kwenye soka pekee, asilimia kubwa ya vijana wameshikilia simu zao wakichanja 'mikeka' au...
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wito wa kukomeshwa viboko mashuleni, Tanzania

    Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja yakisisitiza umuhimu wa kuondoa adhabu hiyo katika mazingira ya shule. Tamko hilo pia linaungwa...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tanzania Internet users hit 58.9 Million equivalent to a 19.5% increase

    Internet users in Tanzania have continued to rise, reflecting the rapid growth of the country’s communications and information technology sector, with new data showing a significant increase in the use of various services over the past year. Read Also: Tanzania’s inflation rate rose to 3.3% in...
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania System ya kubebana na kubeba watu wasiokuwa na uwezo ndio imefikisha Tanzania hapa

    Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa. Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  19. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hiko ndio kitu wanachokuja kufanya Wachina Tanzania

    Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa Serikali za Africa hazina hata mpango Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu. Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania Africans tutabaki kuwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania and Sweden Seal USD 1.32 Billion Deal for SGR Expansion in Dodoma

    Tanzania and Sweden are taking another major step forward in their partnership with the signing of SGR Lots 3 and 4 in Dodoma. With financing of around USD 1.32 billion, this milestone reflects a shared commitment to long-term, sustainable infrastructure. Already used by over 5.5 million...
Back
Top Bottom