tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania tunavyombo vya kuzuia WIZI, havifanyi KAZI analaumiwa Dr Samia ambaye hata course ya Umumugambo Hana so stupid.

    Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana , Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa kwa pesa za kujikimu kwa intake mpya June 2025 mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti. Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
  3. R

    JamiiForums Tanzania China inapinga vikali mataifa ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania

    Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025 Wang Yi...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania 2026 bila utekaji bila wasiojulikana. Bila kuwa Wauaji wa watu wetu wenyewe

    Hamjambo! 1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi ni mdau na mpenda haki. 2. Nakereketwa na kukerwa nikisikia mtu Fulani kapotea katika mazingira ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania, China Cement Strategic Ties as Wang Yi Pledges Support for TAZARA Revitalization

    DAR ES SALAAM – Tanzania and China have reaffirmed their long-standing strategic partnership, with a renewed focus on modernizing the historic TAZARA railway and addressing trade imbalances. The commitment came during high-level talks held today at the State House in Dar es Salaam between...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Court Orders Influencer to Surrender Social Media Accounts Despite Lack of Evidence

    DAR ES SALAAM – In a ruling handed down yesterday, the District Court of Temeke has ordered social media influencer Clemence Kenan Mwandambo to surrender all his social media accounts and report to the police monthly for a year, despite prosecutors admitting they possess insufficient evidence to...
  7. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii si ya Tanzania ni kutoka nchini Nepal

    Wakuu nimekutana na hii picha yenye mandhari ya kuvutia sana. Navutiwa sana kuishi maeneo yenye utulivu na mvuto kama huu. WanaJamiiCheck naomba mnisaidie kujua hapa ni wapi?
  8. JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany). Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Community Discussions Around Casino Jackpots and Crash Games in Tanzania

    Community Discussions Around Casino Jackpots and Crash Games in Tanzania The observation is unmistakable on Tanzanian forums and social groups: casino jackpots and crash games have become regular discussion topics. Football fans in Tanzania now follow betting discussions alongside match reports...
  10. JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  11. T

    JamiiForums Tanzania ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%. Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

    Summary At least 13 killed in shooting at one cafe in city of Mwanza - witnesses and video Police targeted civilians far from protests, witnesses say UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings Government says it is reviewing allegations against security forces NAIROBI, Jan 9 -...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Africa (ikiwemo Tanzania) itaendelea ikiachana na siasa za uchawa, udini na ukabila

    Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
  14. K

    JamiiForums Tanzania Samia kapania kugeuza Tanzania kuwa Zimbabwe ya Mugabe! Dollar $ itapanda

    Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku
  15. JamiiForums Tanzania Kuna magonjwa kwa Tanzania kukuchangia ndungu,jamaa na marafiki ni ngumu.Subiri kufa tu

    Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka amani sio haki. Nimeshuudia mzee mmoja umri miaka 89 kalazwa hospital na familia yake ina pesa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanganyika vs Tanzania

    Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa NB: unaweza kutaja sababu 1. Tanganyika 2. Tanzania Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
  17. JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 01, 2026 Marekani imesitisha utoaji wa baadhi ya viza kwa raia wa Tanzania

    Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
  18. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania 2026

    UCHUMI TANZANIA 2026 Januari 2026 unaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania upo katika kipindi muhimu cha mpito, ambapo ukuaji wa jumla wa uchumi ni imara, lakini kuna changamoto za kimuundo katika upatikanaji wa ajira na usambazaji wa matunda ya ukuaji huo kwa wananchi wa kawaida. Huu hapa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi wa Tanzania alioiona Oscar Kambona na Uzi wa dark days, upi ni bora kwako?

    Hizi nyuzi ni kati ya masterpiece kuwahi kuandikwa humu JF.
  20. JamiiForums Tanzania Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…