tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama acha kutudanganya Watanzania, Vifo vya UKIMWI havijawahi kupungua Tanzania

    Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania. Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 -...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

    Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuzivutia kampuni kubwa za usafirishaji duniani, baada ya meli kubwa ya kisasa ikiwa na shehena kubwa zaidi ya magari kuwahi kutia nanga bandarini hapo. Meli hiyo ya TRANQUAIL ACE (IMO: 9561253) inayomilikiwa na Kampuni ya Mitsui ikitokea moja kwa moja nchini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere na Huduma mbovu za Mtandao na huduma

    Kwa mwezi Sasa nimepita Uwanja wa ndege wa Dar kwenda na kurudi, siku ya kwanza nilikuta mrundikano wa watu nikasikia network imekata sijui mifumo mibovu. Ukiwasikiliza watendaji hasa waliovaa kirahia wanavyolalamikia mifumo ya uwanja ikiwemo TTCL nadhani ndo mtoa network utadhani siyo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuifahamu Tanzania na watu wake kwa kutembelea mikoani

    Mungu jalia katika kipindi cha uhai wangu nimepanga kutumia fursa ya kutembelea mikoa yote ya nchi ya Tanzania ili kuweza kuifahamu Tanzania vizurizaidi pamoja na watu wake wakazi wa mikoa hiyo. Dhamira yangu ni kwamba kila mwaka wakati wa likizo ya mwaka kazini, basi nitumie siku chache za...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania: Court Dismisses Ophir Tanzania's 18.4bn/ - Appeal With Costs

    Tanzania: Court Dismisses Ophir Tanzania's 18.4bn/ - Appeal With Costs - allAfrica.com 9 AUGUST 2021 Tanzania Daily News (Dar es Salaam) Credit: Faustine Kapama THE Court of Appeal has dismissed with costs the appeal by United Kingdom (UK) established mineral giant company, Ophir Tanzania...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uongozi bora ni chachu ya maendeleo chanya Tanzania na Afrika

    UTANGULIZI Viongozi wanaojitambua na kuzitambua vizuri kazi na majukumu yao ndilo jicho bora katika kutengeneza nchi yenye maono na muelekeo wa kujenga msingi mzuri wa maendeleo kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho . Uongozi ni wajibu ,dhamana, jukumu, deni unalopaswa kulilipa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Mchango wa Jamii katika kuboresha Elimu Tanzania

    Katika taifa letu la Tanzania, watanzania tumejijengea utaratibu wa kushirikiana katika maswala mbalimbali ndani ya jamii zetu kama kuchangiana harusi, kutoa rambi rambi kwenye misiba na kujenga makanisa pamoja na misikiti. Haya yote yanafanyika na yanafanikiwa kutokana na nguvu ya umoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Magereza ya Tanzania yanaendeshwa kikoloni

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Magereza ya Tanzania yana viashiria vya ukoloni na kwamba kuna safari ndefu ya kuyabadilisha ili wahalifu watendewe haki za binadamu. Kauli ya Waziri Simbachawene imekuja wakati kukiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaharakati wa haki...
  10. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maonesho ya vyakula vya asili fursa mpya ya Utalii Tanzania

    Utalii ni shughuli ya kibinadamu inayohusisha watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa shughuli mahsusi ikiwemo, mapumziko na starehe, biashara, mikutano au matukio mengine yeyote kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Sekta ya utalii inachangia kiasi kikubwa katika maendeleo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  12. JamiiForums Tanzania Kenya Vs Tanzania: Wapinzani vs Mbadala kukuza uchumi

    GTs, Hivi wapinzani wetu wataacha lini kufanya mikutano isiyokuwa na tija? Juzi hapa Zitto Kabwe kaitisha kikao cha majungu majungu, yaani mchumi mzima anaongelea eti tulikosea kukabiliana na Corona utadhani yeye mwenyewe hajioni kuwa ni mfaidika wa njia sahihi na bora ya kukabiliana na korona...
  13. JamiiForums Tanzania Taratibu Polisi inachukua nafasi ya CCM kwenye siasa za Tanzania

    Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola. Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema. Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa...
  14. JamiiForums Tanzania Akadi, genius aliyeubadilisha mfumo wa elimu Tanzania

    Katikati ya kipindi ambacho ukosefu wa ajira ulikuwa wimbo uliozoeleka na ulioumiza sana kwa kila aliye kuwa na uwezo wa kuona vijana walivyo kuwa wanazidi kukosa mwelekeo ndani ya Taifa la Tanzania. Hatua ambayo wale wenye moyo wa kuhudumu wengine na walio majasiri pekee ndo wangeweza kusaidia...
  15. JamiiForums Tanzania Taifa letu limeoza kwa kukosa maadili na tutaona mengi sana

    Wana JF, Mwaka 2020 ulikuwa mwaka wa uchaguzi mkuu. Mambo yalifanywa na viongozi wetu yanaonyesha kwa kiasi kikubwa suala la maadili katika nchi yetu limepigwa teke. Taifa liimeoza kabisa. Uozo umeanzia kwenye kiini. Kuna mambo ambayo pengine hayatakushangaza iwapo yatafanywa na wakora mtaani...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zimejaa vituko

    Nimecheki hili bango nimeishia kucheka ingawa jambo lenyewe ni zito .
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yaipiku Kenya kuwa muuzaji mkubwa wa bidhaa nchini Uganda kwa nchi za Afrika Mashariki

    Gazeti la the citizen la leo limeriport kuwa nchi ya Tanzania imeipiku nchi ya Kenya kwa upelekaji wa bidhaa nchini Uganda kupitia bandari. Kabla ya hapo Kenya ilikuwa inaongoza kwenye nchi za Afrika mashariki kama chanzo cha bidhaa nyingi kutoka Ulaya na kupitia bandari za Kenya. Mi naamini...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Football Summit 2021

    8 August 2021 Dar es Salaam, Tanzania Several topics have been covered including football marketing and sponsorship, stadium management, E-sports and digital platform in football, revenue generation sources and financial issues associated with football, development of youth and women football...
  19. JamiiForums Tanzania Has Madam President Samia Suluhu Hassan declared total war against CHADEMA, the major Opposition Party in Tanzania?

    Has the Tanzanian President unleashed the reign of terror just like her predecessor by use of a police force armed to the teeth vs Chadema? The Leader of the major opposition Party, Freeman Aikaeli Mbowe, is in jail facing trumped up charges of terrorism! Several members and leaders of his...
  20. JamiiForums Tanzania Tokyo: Mashindano ya Olimpiki 2020 yakamilika

    Baada ya kushuhudia wiki mbili za mashindano ya aina yake katika historia, hatimaye Michezo ya Olimpiki mjini Tokyo nchini Japan imeahirishwa hii leo na kijiti kukabidhiwa kwa Paris, muandaaji wa mashindano hayo mwaka 2024. Mashindano ya mwaka huu yalikuwa ya tofauti kutokana na maambukizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…