tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  2. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuishauri Serikali juu ya energy security ila haikunielewa

    Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa. Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka. Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika. Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili hii Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Siku ya Mei 3 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Nchini Tanzania, siku hii imeadhimishwa Kitaifa jijini Arusha, mgeni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri January ni kweli hatuzalishi Mafuta ila Afrika inazalisha Mafuta: Tanzania ni Mhanga wa uzembe wa viongozi wa Kiafrika

    Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Urusi ina Ubalozi wake hapa nchini; je, imewekeza nini Tanzania?

    Hello wakuu, Naomba kutangaza my interests! Mimi ni mmoja wa watu ambao kama mambo yataenda sawa sawia, basi mwaka huu nitaenda Urusi kusoma my bachelor Hivyo huu uzi hauhusiani na mihemko ya kivita au upenzi wowote ule! Ipo hivi, Urusi Ina embassy hapa kwetu, tafsiri yake kuna mambo fulani...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR. Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tanzania Progress Through Self-Reliance (1969)

  8. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wasimbe Tanzania ni kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika

    Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7. Bado haijajulikana shida hasa ni nini ila kwa mujibu wa wasimbe hao baadhi wanadai walikosa uaminifu huku wengine wakidai tamaa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania mtu anaweza kufunga ndoa mahakamani?

    Nasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania: Wachumi watoa angalizo bei ya mafuta kupanda

    Wataalam wa uchumi Tanzania wametoa angalizo kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, wakitahadharisha kuwa kutasababisha kupanda kwa gharama za maisha. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Tanzania (EWURA) ilitangaza bei kikomo ya petroli, dizeli na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
  12. JamiiForums Tanzania Front End Loader operators (3 posts) at Unitrans Tanzania Limited

    Unitrans Tanzania Limited has the following exciting opportunity at Kilombero and Kilosa Districts, Morogoro Region where is subcontracted for various agricultural operations to the sugar industry. We are currently looking for a suitably qualified, dynamic, and experienced person for the...
  13. JamiiForums Tanzania Motor Grader Operators (3 posts) at Unitrans Tanzania Limited

    Unitrans Tanzania Limited has the following exciting opportunity at Kilombero and Kilosa Districts, Morogoro Region where is subcontracted for various agricultural operations to the sugar industry. We are currently looking for a suitably qualified, dynamic, and experienced person for the...
  14. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

    Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa. Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

    Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima rasmi mtaani leo

  17. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania. Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania, Shilingi ya Tanzania na Maisha ya Watanzania

    Habari wana JF Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja. Kama umsikia kwa Umakini kipindi hicho Shilingi 1 ilikuwa na thamani sana kulinganisha na Sasa, Lakini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

  20. JamiiForums Tanzania Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

    Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei Dar ✅Petrol ni Sh. 3100+ ✅Diesel Sh 3200+ Nairobi ✅Petrol 144+ Ksh=2884Tsh ✅Diesel 125.5= 2503Tsh. Mombasa ✅Petrol Ksh. 142=2850Tsh ✅Diesel Ksh. 123=2463Tsh Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…