tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania kati ya mataifa 10 yenye madeni makubwa Afrika

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni). Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Mitandao ya Kijamii kwa Amani na Utulivu wa Tanzania

    Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii. Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDOM aihoji Bodi ya Ithibati kwanini Vyombo vya Habari vya Tanzania haviaminiki tena na wananchi? Nani anapaswa kuwajibika?

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema kuwa kukosoa ni haki ya msingi katika jamii ya kidemokrasia, lakini ukosoaji huo unapaswa kufanywa kwa kuzingatia maadili, heshima na ukweli. Akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Nini hasa chimbuko la CHADEMA kupwaya karibu katika kila idara kwenye siasa za Tanzania?

    Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine? Kwa mfano, Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto...
  6. JamiiForums Tanzania Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi future ya Tanzania ni nzuri kweli?

    Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira, umasikini nk The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kigeni waliowekeza Tanzania

    Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania? Mimi naanza na hawa: 1.Bernad Morrisson Kajenga nyumba Dar na Mbeya 2.Aubrey Chirwa Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Singapore kuanza ziara ya kiserikali Tanzania kesho Juni 9, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili Tanzania jioni ya leo kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kiserikali kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kesho, Juni 9, 2026, Rais Shanmugaratnam atapokelewa rasmi Ikulu...
  10. JamiiForums Tanzania Singapore President Tharman Visits Tanzania

    🇹🇿🇸🇬 Welcome to Tanzania H.E. Tharman Shanmugaratnam, President of the Republic of Singapore, on your State Visit from 8th - 10th June 2026. This visit symbolizes the deepening friendship and mutual commitment between our two nations to strengthen bilateral ties;
  11. JamiiForums Tanzania Urusi haijasahau ukarimu wake wa nyakati zote kwa Tanzania 🇹🇿 🇷🇺

    The Diplomat Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaelezea mapokezi ya heshima aliyopata akiwa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Urusi. Mapokezi aliyopewa Rais Dkt. Samia yanaakisi udugu wa miaka mingi na Taifa la Urusi. "Urusi ni mshirika wetu mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe? Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Tanzania katika Migogoro unaoendelea Mashariki ya Kati?

    Inajulikana kuwa nchi za Mashariki ya Kati zimejengewa misingi ya Ustaarabu wa kidini tangu enzi na tunapozungumzia dini tunajumuisha Ustawi na utulivu wa Mwanadamu. Migogoro ya kihistoria hususani inahusisha ardhi ya israel-Palestina imeendelea kuwa nadharia kuu ya Kutoweka kwa Amani katika...
  15. JamiiForums Tanzania Air tanzania yapingwa marufuku kuruka anga za ulaya

    Kama mnakumbuka mama samia alikuwa ziarani hapo urusi baada ya muda kidogo wakatoa taarifa kwamba air tanzani itaanza safari za moja kwa moja hadi urusi Kumbe kilichojificha ni kwamba air tanzania walipewa notes na kupigwa ban ya kuruka anga za ulaya just why wakaamua kuhamia anga za urusi Haya...
  16. JamiiForums Tanzania Tudumishe amani Tanzania video

    https://youtube.com/shorts/iz-L9D8Tvug?si=Hj5zabg1oScnBzUu
  17. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Utaratibu wa Life Insurance uangaliwe tena, nimepata ugumu kwenye maisha ila wamegoma kunipa hata hela kidogo

    Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 40 katika bima ya maisha (life insurance) kupitia Jubilee Insurance, kwa matumaini ya kuwa na usalama wa kifedha wa baadaye. Hata hivyo, kwa sasa sina ajira na sina uwezo wa kuendelea kulipa malipo ya mara kwa mara ya mpango huo. Nimewasiliana nao ili kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Tathimini ya uchumi wa Tanzania 2026 - 2030

    Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu 1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
  19. JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Rais Samia wafanya Viongozi Duniani Kote Kupigana vikumbo na Kung'ang'ania Kufika Tanzania. Rais wa Singapore kuja Tanzania Jumatatu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…