tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

    Ukipitia kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoanzia kwenye ward tribunal (kwa sasa hazipo tena bali ni wasuluhishi) mpaka Court of Appeal na mwishowe kutupwa/kurudishwa kuanza upya either kwenye Mahakama ya nyumba na ardhi ya wilaya (DLHT) au kwenye Ward Tribunal (sasa haipo ni washauri)...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
  3. JamiiForums Tanzania Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Nilichogundua Tanzania Kuna watu wajinga wengi ndo maendeleo ni duni Sana

    Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k Anafanya Kazi 8--9 hours Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje Ana Ist used ya Mwaka 2005 Kaoa ana watoto 2 au 3 Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka Kijana bodaboda Ambaye Hana nyumba Wala gari Ambaye hajaoa Sasa huyu kijana bodaboda hutumia...
  5. JamiiForums Tanzania TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  7. JamiiForums Tanzania Star Link yaanza kupigwa vita na makampuni ya simu isije Tanzania

    Makampuni mawili ya simu sitaki kuyataja wameanza mkakati wa kuhakikisha Star link haiji Tanzania kwa kuhofia ushindani. Kibaya zaidi wanagawa rushwa na hata juzi walikua na kikao kizito kizito na baadhi ya watu wasio waaminifu kutoka Tcra na maafisa kadhaa wa serikali. Hebu imagine hawa watu...
  8. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mwanariadha Mtanzania John Stephen Akhwar alivyotoa somo la uzalendo Mexico 1968

    Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho. Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi kwenye kurasa hizo na k a m a u n amfahamu b a s i itakufanya utamani kumtazama na kuona historia yake...
  9. JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume wamewasusia wanawake kushiriki mazishi ya watoto kutokana na imani za kishirikina

    Hamjambo? Wanaume wa kitongoji cha Namanyere kwenye mji mdogo wa Majimoto mkoa wa Katavi wamesusia wanawake kushiriki maziko ya watoto wanaofariki kwa madai kwamba vifo ni vya ushirikina unofanywa na wanawake. === Kwa utamaduni wa maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari kamili kuhusu tukio la 'The Battle of Manzese' atuelezee

    Wakuu Habari zenu? Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese. Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea wananchi masikini. Lakini badala yake wananchi wakakimbia, wakawaachia msala wasomi wa vyuo vikuu...
  11. JamiiForums Tanzania Tangazo la Raja Club Athletic linatangaza Utalii wa Tanzania, tunalo la kujifunza!

    Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball. Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
  12. JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

    Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu. Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya. Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
  13. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania bora ni baada ya CCM kupumzishwa

    Yapo mengi yanayoweka matumaini ya Tanzania bora baada ya hawa ndugu kuondolewa madarakani. Hawa ndugu wameshindwa kujifunza wala kubadilika pamoja na kupigiwa kelele mno. Kwamba ni lipi hawakuambiwa? 1. Ni hii misafara mirefu yenye kutuweka barabarani bila ukomo kuwapa wao nafasi ya kupita...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nape Nnauye afungia mtandao wa Clubhouse, haupatikani Tanzania bila VPN

    Nape strikes again. Ukishaonja kula nyama za watu, kamwe hutoacha. Yuleyule aliyetuondolea bunge live wakati huo akiwa waziri wa habari kipindi cha utawala wa Magufuli, Leo tena akiwa na dhamana hiyohiyo ya Waziri wa habari ameufungia kimyakimya mtandao maarufu wa Clubhouse. Mtandao wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mke wa Mwenyekiti auawa na kijana aliyemsaidia kwa kumpa hifadhi nyumbani kwake

    Kishobo Bukoba vijijni, mtaa wa Nyamisheni National Housing, kumetokea tukio la kikatili ambapo Paskali Kagwa aliyepewa hifadhi nyumbani kwa Mwenyekiti wa eneo amuua na kumbaka Hadija ismail (29) mke wa mwenyekiti na kutokomea kusikojulikana. Siku ya tukio Paskali alimpiga marehemu na kitu...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini makubaliano ya Ushirikiano na Indonesia kwenye Sekta ya Umeme na Gesi

    Ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba nchini Indonesia imemalizika kwa kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya umeme, mafuta na gesi. Makamba kwa nyakati tofauti alikutana na Waziri wa Nchi anayeratibu biashara zinazomilikiwa na Serikali, Luhut Pandiaitan, Waziri wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nivyomchakata Miss Tanzania kwa shilingi 50,000

    Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya. Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi. Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunatarajia kuzalisha MW 5,000 mwaka 2025

    Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania utaimarika zaidi

    LICHA ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID- 19 kuzorotesha uchumi wa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara, ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imeonyesha kuwa uchumi wa Tanzania umezidi kuimarika na kupita wastani wa nchi hizo. Ripoti hiyo ambayo ni toleo la 18 la Taarifa ya Kiuchumi ya Tanzania, pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…