tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Saudia kuja Tanzania ni habari nzuri kwa taifa, Sio mbaya kwa ATC

    Watanzania ni lazima waeleweshwe vizuri. Biashara ya Ndege haina faida. Biashara ya Ndege ya ATC faida yake ni kusaidia biashara nyingine muhimu kama utalii na mizigo kama ya kilimo, Maua na mifugo. Sasa kuna wasomi wengi nashangaa wana lalama eti ndege ya saudi ambayo itakuja kuchukuwa mizigo...
  2. JamiiForums Tanzania E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini. Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma ya E SIM ni vipi? 1. Lazima simu yako iwe ina uwezo wa kupokea mipangilio ya E-SIM, kwa maelezo zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

    Habari, Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu. Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana. 1. H.E Samia Hassan 2. Jakaya Kikwete 3. Abrahaman Kinana 4. Hussein Mwinyi 5. January Makamba 6. Freeman Mbowe...
  4. JamiiForums Tanzania Ujio wa Kamala Tanzania na viongozi wengine wa Marekani waliowahi kufika Tanzania

    Hii ni orodha fupi ya baadhi ya viongozi wa Marekani ambao wamewahi kutembelea Tanzania kwa nyakati mbalimbalu. 1. Rais Barack Obama: Aliitembelea Tanzania mwaka 2013 akiwa madarakani na kukutana na viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete 2. Rais Bill Clinton...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Kamala Harris Tanzania inaweza kuwa ni shubiri kwa nchi yetu

    Kwa maoni yangu, ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani Tanzania kwa zaidi ya 75% inaweza kuwa ni JANGA kwa Tanzania. (1) Kiongozi wa Marekani kufanya ziara ya siku 3 Tanzania, faida yake inaweza kuwa ni ndogo zaidi kuliko hasara. (2) Bush aliyekuwa Rais wa Marekani wakati huo aliwahi kufanya ziara...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani kuanza ziara Tanzania kesho, dondoo kadhaa kuzijua

    Na Bwanku Bwanku. Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita. Ni ziara ya kimkakati ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

    Hii ni katika maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali ya Ruto leo. Katikati ya Nyomi hilo Kibra Nairobi, ni Raila Amolo Odinga (Baba) akiwa kazini. Kwa hakika hakuna mwingine kama yeye: Nyuma ya shughuli ni goma zito kutokea Tanzania, "hakuna kama yeye." Kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa sehemu bora ya uwekezaji

    Jarida maarufu la biashara na linalofuatiliwa duniani kote la Business Insider lenye Makao Makuu yake Jijini New York, Marekani limeitaja Tanzania kuwa moja ya mataifa machache ulimwenguni yanayokua kwa kasi kwa sasa kwenye uwekezaji ambayo ni sehemu bora na salama zaidi kwa uwekezaji. Jarida...
  9. JamiiForums Tanzania Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

    Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuwa Balozi wa Tanzania: Siasa, Ujasusi na Ujuzi wa Kiufundi

    Wakati Bongo, kuchaguliwa kuwa balozi, wanaangalia uchawi wako, ukada wa chama tawala, au uswaiba tu, kwa wenzetu ni strategies zinatumika, wanajua kabisa Bongo ni super power kwa Afrika Mashariki, na ina maslahi mapana wanayoyahitaji, wanajua Rais ni mwanamke, tena Islam, wanakuletea mwanamke...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yawalipia viingilio Maafisa Habari wa Serikali kushuhudia mechi ya Tanzania Vs Uganda

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27. 2023). Waziri Mkuu amesema hayo wakati akihutubia katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari...
  12. JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

    Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

    Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania. Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
  15. JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

    Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta upo na kazi watakusubiri mpaka umalize ndipo wakuchukue. Polisi wa Tanzania ni Kama wa ya Ulaya...
  16. JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

    Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana. Imekuwaje Google waseme Mo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

    Wakuu. Kuna suala linaniumiza sana Kichwa. Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu? 1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania? 2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui? 3. JE Tanzania...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Policeman dies in Tanzania guest house

    A policeman Stewart Saiba(40) force number Pf 18530 died at Mrina Shine guest house in Arusha.Saiba came to the guesthouse at midnight accompanied by a young woman.He recorded his details in the visitors book and he was given room number 5.He was carrying a bag and a walkie talkie. According to...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania inamilikiwa na nani. CCM, Dola, au kila Mtanzania?

    Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni mmiliki wa hii nchi ninayoishi. Kila siku nikiwaza umiliki wangu kwa Tanzania nautilia shaka sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…