tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Angalia hawa watoto wanavyo hatarisha maisha yao

    Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku. Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani. Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
  2. JamiiForums Tanzania Wazo makini: 'BlackBox Education' ni mtego wa kifo cha Tanzania na Africa

    Wakuu GT.. nawasalimia sana. Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Utangulizi Hapana shaka kuwa kiwango cha maendeleo ya nchi au bara hutegemea ubora wa raslimali watu katika nchi/bara husika. Ubora huu wa raslimali watu ndo hutofautisha nchi na nchi, bara na bara katika maendeleo ya kiuchumi...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  4. JamiiForums Tanzania Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania Investment Center to Facilitate Fully Online Registration for Foreign Prospective Investors

    The Tanzania Investment Centre (TIC) will soon open an online registration window (TelW) to allow a prospective investor to register with the center from any point on Earth. This was said by the TIC executive director, Gilead Teri, after attending a special 43rd extraordinary session of the...
  6. JamiiForums Tanzania How Tanzania Plans to Benefit From Carbon Credits Business

    Tanzania yesterday started a journey aimed at reaping financial benefits from the carbon credit business following the signing of the Memorandum of Understanding (MoU) between the government and a foreign investor. The MoU was entered into by the Tanzania Wildlife Management Authority (Tawa)...
  7. JamiiForums Tanzania Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Solar Panels zinatengenezwaje? Tanzania Kuna kiwanda kinachozalisha Solar panels?

    Penye wengi haliharibiki neno! Nimewaza mara nyingi sana, hivi solar panels zinatengenezwaje? Unatumia materials Gani? Kuna teknolojia Gani inatumika? Tanzania Kuna kiwanda cha kuzalisha hizo solar panels? Nimesikia kwamba tumeanza kutengeneza battery za magari. Natamani kujua mwenye Abc za...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu ni almasi ya Tanzania

    Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC. Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu. Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU. "Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wayahudi Tanzania?

    Ukiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga satelaiti yake

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza mazungumzo kwa ajili ya ujenzi wa satelite. Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa mradi wa minara ya kurusha matangazo ya Televisheni ardhini (DTT) inayomilikiwa na kampuni ya Azam Media Limited...
  12. JamiiForums Tanzania Ninashangaa sana wanaojaribu kuilinganisha Yanga sc na vilabu vingine Tanzania

    Mara nyingi huwa ninaona watu wakijaribu kulinganisha vilabu hivi viwili vya Yanga na Simba, Ila kiuhalisia vilabu hivi vinatofautiana sana kiumri,mafanikio na hata kihistoria. 1.Kiumri Yanga ilianzishwa February 11, 1935, Mwaka mmoja kabla ya kuanzishwa Simba Sc, kwa hiyo kiumri ni wazi Yanga...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi

    Hello! Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu. ~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) ~ Namba: 0674074563 ~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar ~ Nipo Temeke Dar es Salaam
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Kufanikiwa katika Elimu na Maisha ya Kijamii nchini Tanzania: Ushauri na Hatua za Kukabiliana Nazo

    CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada- Import duty Uganda na Tanzania

    Habari wakuu, Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda. Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya gharama ya mzigo. Natanguliza shukrani zangu kwa wote ambao mtatumia mda wenu kunisaidia. Asante.
  17. JamiiForums Tanzania KERO KUU ZA BIASHARA TANZANIA: Wageni kufanyabiashara sawa na wazawa, Polisi kugeuka maafisa Kodi, TRA kushindwa kutengeneza mazingira halisi ya Kodi

    Naona wafanyabiashara wanashindwa au wanasau kero kuu za Biashara pale Kariakoo. 1. Kuwaruhusu Wachina watoke China waje kuchuuza Biashara zao hapa TANZANIA na kariakoo WACHINA wenyewe wanakopeshana na wanapeana mali kwabei nafuu tofauti na mtanzania anaenda kununua bidhaa China alafu hapo hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na JICA kushirikiana katika kujenga uwezo matumizi bora ya gesi asilia

    TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO MATUMIZI BORA YA GESI ASILIA Wizara ya Nishati pamoja Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wamesaini makubaliano ya kutekeleza mradi wa kujengea uwezo Wataalam wa Wizara na Taasisi zake katika eneo la kuendeleza matumizi bora ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ali Express wanatumia local delivery company gani Tanzania ukitoa Posta?

    Habari wadau. Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3. Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number. Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Watalii kutoka China wahimiza maendeleo ya sekta ya utalii Tanzania

    Muda mfupi baada ya serikali ya China kuondoa kizuizi cha mwisho cha hatua za kupambana na janga la COVID-19, wachina walianza kusafiri kwenda katika nchi mbalimbali duniani. Mwishoni mwa mwezi Aprili kundi la watalii 28 kutoka China, lilikuwa ni moja kati ya makundi ya mwanzo kusafiri kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…