tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa ni Kiongozi wa kutoa Elimu na kuelezea Manufaa ya DP World Tanzania. Aungwe Mkono

    Baada ya Gerson Msigwa kutoa Elimu kuhusu azimio la Bunge na Uwekezaji wa Bandari ya Dar, Wananchi sasa wamejua ukweli. Ni Jukumu letu Watanzania kuunga Mkono Juhudi zake kwani waliokuwa wanapotosha kuhusu Uwekezaji wa Bandarini sasa wameelewa ukweli. Watu walidanganywa kwamba Bandari zote za...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  3. JamiiForums Tanzania Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu. 1. Pendekezo...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Sheria za Vyombo vya Habari, Madhumuni na Athari zake katika Uwajibikaji na Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Tanzania

    Utangulizi Habari ni taarifa au maelezo kuhusu tukio, jambo au matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii, taifa, au dunia kwa ujumla. Halikadhalika, vyombo vya habari ni njia au nyenzo mbalimbali ambazo hutumiwa kuwasilisha habari kwa umma, kama vile Magazeti, Runinga, Redio na nyinginezo...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania huwachukuliaje watanzania?

    Mramba - Aliwahi kusema watanzania wale hata nyasi lakini ndege itanunuliwa. Katambi - Kijana ambaye hajapata Mkopo atakuwa ni Mkenya si mtanzania. Nchemba - Asiyependa kulipa tozo ahamie Burundi. CP Andengenye - Kigoma hakuna barabara yenye vumbi. Serikali - Hakuna madhara wala hasara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mchango wa kujenga teknolojia shindani nchini Tanzania

    1.Historia ya ukuaji wa teknolojia Teknolojia ni utumiaji wa maarifa ya sayansi kwa ajili ya kubuni, kuunda, kuboresha na kutumia zana, vifaa, mifumo, na michakato ya kufanyia kazi ili kuchangia maendeleo katika maisha ya binadamu au katika utendaji wa shughuli zozote za kibinadamu kwa uharaka...
  8. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika sekta ya afya Tanzania

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa wataalamu wa afya, ukosefu wa vifaa tiba, vitendea kazi na miundombinu duni. Hivyo, utekelezaji wa sera...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

    Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto. Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo. Kwa mshangao, leo...
  10. JamiiForums Tanzania Kombe la kwanza kuja hapa kwetu Tanzania ni CAF Shirikisho, CAF Mabingwa bado hatuwezi, Yanga na Simba wajiengue mapema kwenye mabingwa

    Nelly alishawai kuimba Nini kinahitajika kuwa namba moja Wa pili sio mshindi Wa tatu hakuna anaemkumbuka Ukiwa namba moja Watakaa na kuiandika hata wakichukia Basi ndivyo ilivyo na kwenye haya mashindano ya caf interclubs (mabingwa na shirikisho). Kwa level ya timu zetu hizi ni ndoto kuja...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Maafisa Kazi wa Wilaya na Mikoa wanawasaidiaje wafanyakazi wa Kampuni binafsi?

    Habari zenu, Ujumbe au Maoni haya naomba yafike katika wizara husika ambayo ni WIZARA YA KAZI, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU, TANZANI. Katika kila ofisi ya Wilaya na Mikoa yetu ya Tanzania, Wizara yetu imejaribu kueka maofisa wa Idara ya Kazi kwa lengo la kuratibu na kufuatilia utendaji pamoja...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Serikali inayapangia Magazeti kitu cha kuandika? Tazama haya magazeti

    Leo nimeshtushwa na magazeti haya mawili katika kurasa zao za mbele kubwa na vichwa vya habari vinavyofanana. Kumekuwepo na tetesi kwamba serikali imekuwa ikiyapangia magazeti habari za kuandika. Kati ya magazeti ambayo yalikuwa yamebaki na uhuru kidogo ni haya ya Mwananchi Communication...
  14. JamiiForums Tanzania Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

    Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule. Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi...
  15. JamiiForums Tanzania Malumbano ya Hoja ITV: Kama wanaochangia ndiyo wanavyuo wetu acheni tu DP World wainunue hata Tanzania yote!

    95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra. Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kila Mtanzania anapozaliwa anakuwa mwana CCM

    Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi, Balozi Mbarouk atoa neno

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na Misri katika sekta za biashara na uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuimarisha ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika sekta za biashara na uwekezaji. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba: Umasikini uliokithiri umepungua Tanzania

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Tanzania imefanikiwa kupunguza kiwango cha umasikini uliokithiri kutoka asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…