tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu, hatua za kukuza na hasara zitokanazo na teknolojia nchini Tanzania

    Teknolojia ni matumizi ya maarifa, mbinu, mchakato, zana, na vifaa ili kubuni, kujenga, na kutumia bidhaa au huduma kwa lengo la kutatua matatizo, kuboresha maisha, na kufikia malengo ya kibinadamu. Inahusisha matumizi ya sayansi, uhandisi, na maarifa mengine ya kibinadamu kwa lengo la kuunda...
  2. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kifo cha Gavana Gilman Rutihinda

    Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet inavyojieleza: Hata hivyo kuna article ya Mwaka 2011 hapa katika Forum inayoelezea kifo cha Gavana Rutihinda...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa angalizo kwa NGO's, ataka Masharti ya wafadhili yaendane na Maadili, Utamaduni wa Tanzania

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania. Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ni yetu sote. Tuwajibike kwa pamoja kuleta Maendeleo ya kweli

    MAENDELEO YA TANZANIA: NANI AWAJIBIKE? Kuwajibika ni wajibu au jukumu la kufanya vitendo na kuchukua hatua sahihi kulingana na majukumu au nafasi ya mtu katika jamii au shughuli fulani. Kuwajibika kunamaanisha kufanya yale yanayotarajiwa kutoka kwako kwa njia inayozingatia maadili na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Bandari Ilikuwa inaingiza tsh 1 trillion na inamtumia tsh 880 bilioni ndio sababu tumeleta DP World Ili kuongeza Mapato!

    Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12 Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu Msigwa amesisitiza Bandari lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi. Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa. Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

    Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana... Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..? Nimeagiza...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi /wanahabari wengi wa "hovyo" wasiojitambua kabisa!

    Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni! Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo Kumwembe na mtu anayejiita Oscar! Hao wanahabari nawashauri waendelee na mambo ya mpira na mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna Uuzwaji wa Ardhi Mkataba wa DP World na Tanzania

    MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA "Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali ya awamu ya sita nyanja za Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa kwa dhati ya moyo niseme Waziri wa Fedha na...
  11. JamiiForums Tanzania Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?

    Wasalaam, Title yajieleza. Kampuni gani kusafirisha parcel/package kutoka Uingereza (UK) kuja Tanzania? Kampuni yenye unafuu wa gharama. Apart from kina DHL, sijuwi FEDEX, na mapapa wenzao.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

    Tanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi. Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa iwe ni marufuku kutuita Tanzania bara, ni Tanganyika

    Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini? Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

    Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora. Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Timu ya kwanza Tanzania kumiliki app,Timu ya kwanza Tanzania kuuza jezi online kwa zaidi ya 70k.

    Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji la Mbeya ilivyofanikiwa kuitengeneza @officialmbeyacityfc hadi kupata mafanikio yale! Namna...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani hasa mmiliki wa Taifa la Tanzania?

    Asalam, Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI? Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi yenye watu Jeuri na kutamba kama Tanzania? Sipati picha iwapo tungekuwa na Uchumi wa hata Dubai tu!

    Niambieni, kwa jinsi walivyosimama hapo na mwonekano wao,unadhani ni nani anayedhaniwa kuwa ndo anatakiwa asainishwe mikataba ya DP word? Kati ya nchi ambazo watu wake ni jeuri, walisharidhika na umasikini wao, na mambo yao ni poa sana, na wenye uwezo wa kuuza chochote bila kufikiri ya badaye...
  19. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Wakulima wa Katavi, Kiteto na Sumbawanga wasiuze Mahindi chini ya Tsh. 800 kwa kilo

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 54, leo Juni 23, 2023. Tanzania kutokomeza Ugonjwa wa Malaria ifikiapo mwaka 20230 Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel amesema hadi sasa kuna mikoa zaidi ya 9 nchini iliyo na kiwango cha Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria chini...
  20. JamiiForums Tanzania Maombi kwa Nchi ya Tanzania June/July 2023

    Nchi ya Tanzania inapendwa na Mungu zaidi kuliko hata sisi Watanzania wenyewe. Tumebarikiwa kuwa na bendera yenye yenye rangi nne na kila rangi ina maana yake. 1. Kijani 2. Blue 3. Dhahabu/njano 4. Nyeusi Tuiombee bendera yetu iendelee kupepea juu, ipande saa 12 asubuhi na ishuke saa 12 jioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…