tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Asante Magharibi, karibu Mashariki

    Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mrembo kutoka Oysterbay aliye kamata moyo wa gwiji la Muziki Tanzania na kuwa famous Tanzania nzima

    Wengi wenu mnatambua nyimbo ya Jabari la Muziki Tanzania Marijan Rajab na nyumbo yake maarufu inayo julikana kama "Georgina " huku wengi mkiwa hamjui story ya nyimbo hiyo kwamba ni ya kweli , Georgina ni nani na kwanini nyimbo hiyo ili tungwa na jabari huyo wa Muziki. Georgina...
  3. JamiiForums Tanzania Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania

    TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania. Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
  5. JamiiForums Tanzania All about Tanzania life/ Safari zangu kuizunguka Tanzania

    Kati ya maamuzi magumu zaidi nionayo nimeweza kuyakabili na kuyafanya ni hili la kuweka uhalisia hapa. Habari na heshima kwenu wakuu na wadau wote wa Jamii Forums. Nimekuwa hapa kwa muongo mmoja na miaka miwili sasa. Kila nitakaposherehekea siku yangu ya kuzaliwa nitakumbuka pia siku na mwezi...
  6. JamiiForums Tanzania DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
  7. JamiiForums Tanzania Utafiti: Bara la Afrika kugawanyika, Tanzania kuhusika

    Shirika la Anga la Marekani (Nasa) kupitia utafiti wake mpya uliochapishwa Juni 2023 umeonyesha dalili za kugawanyika mara mbili Bara la Afrika miaka milioni tano ijayo baada ya bonde la ufa lililopo Kenya na Ethiopia kuzidi kuongezeka. Taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa ‘Daily Mail’ wa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA songeni mbele kuziba ombwe la uongozi Tanzania

    Lissu endelea hivyo hivyo nimeona wafanyabiashara wamerelax na kujisikia huru zaidi pale Kariakoo. Kero zao zimesikika vizuri sana na wameonesha utulivu mkubwa Lissu alipokuwa anaongea nao. Nimegundua kuwa watanzania wa kada mbalimbali wanakosa viongozi wa kuwasikiliza. Sasa basi CHADEMA...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za kuboresha Huduma za Afya katika Maeneo ya Vijijini na Yaliyoko Mbali nchini Tanzania

    Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ya Tanzania na watu wake

    Nimekuwa Tanzania kwa muda mrefu sasa nataka kutoa ushauri kwa serikali ya Tanzania na wananchi wa Tanzania. Nchi ya Tanzania ina kabiliwa na umasikini mkubwa hali hii nimejifunza na kushuhudia sehemu kubwa ya Tanzania na hali hii kwa sasa inazidi kuathiriwa kwa kasi na tatizo la kuongezeka kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

    Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Sehemu tajiri kuliko zote ulimwenguni, taifa tajiri la Tanzania 2050

    UTANGULIZI Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
  13. B

    JamiiForums Tanzania MoU kati ya Tanzania na jimbo la China, bidhaa nyingi kuingia nchini

    MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maajabu ambayo yanapatikana Tanzania tu

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna Mambo ambayo kwa uelewa wangu mdogo nimeshangaa yanatokea Tanzania tu, sijui kwa nchi zingine 1. Fine za barabarani Bodoboda na bajaji ndio wanaoongoza kuvunja sheria, ila eti kwa vile ni vyombo vidogo, eti vilipunguziwa fine hadi elfu 10. Kwani tunaangalia ukubwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maajabu matatu (3) yenye nguvu ya kutisha yaliyoifanya familia masikini kuikopesha Marekani

    Hapo zamani za kale pembezoni mwa upwa wa bahari ya hindi kulikua na familia ya wabantu. Familia hiyo kwa umaarufu wake wa kumiliki kila aina ya vito vya thamani hata vile visivyoweza kupatikana kwa malimwengu yote yaani tanzanite, vilipelekea familia za walowezi kutumia mabavu kujimilikisha...
  16. JamiiForums Tanzania Waturuki washusha bei ya nyama Tanzania

    Wakuu uko kwenu vipi nyama huku kwetu nyama kwa masada wa waturuki imekua nyingi mpk sasa mafriji yamejaa watu wanachuna tu tangu sikukuu ianze. Hata idadi ya mbwa koko imeanza kuongezeka kitaani ndani ya wiki hizi 2
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

    Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara? Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
  18. JamiiForums Tanzania Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli

    Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli? Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Utalii Wa Ndani Tanzania: Faida, Changamoto Na Vivutio

    UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na kiutamaduni ya nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, ina vivutio vingi vya utalii...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania kusaidia kupunguza umaskini

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, Mkoani Hunan, sekta ya kilimo ilikuwa ni moja ya maeneo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye biashara na makongamano yaliyofanyika sambamba na maonyesho hayo. Licha ya kuwa sekta ya kilimo ni eneo moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…