tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

    Wasalaam, Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku. Walimu na elimu vinahitaji good governance...
  2. JamiiForums Tanzania Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

    Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi. Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee...
  3. JamiiForums Tanzania "Temperament" ya viongozi wa Tanzania

    Sijui Kiswahili chake fasaha kama ni haiba au hulka, au silka, n.k, ila waliotuletea vitabu wanaiita TEMPERAMENT. Kuna faida kujifahamu na kuwafahamu wengine. Kutakusaidia kuweza kushirikiana na wenye "temperament" tofauti na yako, na hata wakati mwingine, kujua aina ya mtu unayehitaji...
  4. JamiiForums Tanzania Kuelekea Dunia ya Kidijitali: Sekondari ya Zanaki yaanza kutekeleza mradi wa kujenga Jamii ya Kidijitali Tanzania

    Mkuu wa shule ya Zanaki ( mwenye hijabu katikati) akipokea vifaa vya tehama Shule kongwe nchini Tanzania, Sekondari ya Zanaki, iliyoko jijini Dar es Salaam, hatimaye imefanikiwa kujiunga katika utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali baada ya kupata vifaa vya tehama kwa ajili ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

    Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vienna Protocol inakataza kukamata Balozi wa mwenzio. Tanzania ilikamata balozi wake yenyewe! Kumvua ubalozi hakufuti aibu

    Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo. Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida. Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK-JMT) yanukia Tanzania Bara

    Wanajamvi Salam, Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya. Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa umahiri sana na kisha hutekelezwa na wataalamu kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno ili kusudi...
  8. JamiiForums Tanzania Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

    Tanzania Airports Authority (TAA) is a Government Executive Agency established to operate, manage, maintain and develop Government owned airports with a commercially oriented Management style. As of implementing its Organizational Structure, TAA hereby invites applications from suitably...
  9. JamiiForums Tanzania Kila Rais wa Tanzania alipoondoka aliacha nini kwa awamu iliyomfatia?

    Kichwa cha habari kimeeleweka. Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita. Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa...
  10. JamiiForums Tanzania Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

    Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote. Naomba sasa Naibu Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Chuo Kikuu cha MUST Tanzania kinavyowasaidia wanafunzi kuwa wajasiriamali

    Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi. Chuo hiki kinahakikisha mwanafunzi anapoingia chuoni hapo anapeleka wazo la biashara/kampuni yake anayotaka kuifungua na chuo...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  13. JamiiForums Tanzania Aliye mpakani mwa Tanzania na Rwanda

    Habarini Wadau. Napenda kuwasalimu kwa jina la JMT🇹🇿. Naomba Kama kuna mwana Jamii aliye mpakani na Rwanda naomba tuwasiliane.
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wema sana

    Kwakweli hii ni ardhi ya watu wema sana, vigezo vya uwekezaji kwa wageni ni rafiki sana, kuna muda wa kutosha wa kufanya majaribio ya biashara mpya bila kulipa kodi. Nawaomba mpunguze mlolongo kipindi cha usajili wa biashara, vinginevyo nawaalika wawekezaji wengine toka uarabuni, uzunguni na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  17. JamiiForums Tanzania Tamasha hili linajenga mahusiano kati ya Tanzania ipi na Zanzibar ipi?

  18. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

    Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika. Nitajikita zaidi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Finance and Administration Volunteer at DIGNITY Kwanza

    Position: Finance and Administration Volunteer Job Type: Full Time Reporting: Directly to Finance and Admin Manager DIGNITY Kwanza – Community Solutions (DIGNITY Kwanza) is a national not-for-profit organization registered in Tanzania under the NGOs Act of 2002 as amended in 2005, with...
  20. JamiiForums Tanzania Administrative Assistant at Ifakara Health Institute (IHI)

    Position: Administrative Assistant – 1 Post Reports To: Project Leader Work Station: Lupiro Apply By: September 11, 2023 Duties and Responsibilities Assist with the administrative tasks within the project, mainly running in the field, Ifakara testing, and the Insectary Lab. Initiate purchase...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…