Jinsi Chuo Kikuu cha MUST Tanzania kinavyowasaidia wanafunzi kuwa wajasiriamali

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,333
8,252
Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi.

Chuo hiki kinahakikisha mwanafunzi anapoingia chuoni hapo anapeleka wazo la biashara/kampuni yake anayotaka kuifungua na chuo humsaidia katika usajili na uendelezaji wa wazo hilo la biashara.

Wanafunzi huunda kampuni na kuendesha biashara zao wenyewe wakiwa wangali shuleni jambo linalo pungruza ukosefu wa ajira kwa wanafunzi wamalizapo elimu ya chuo kwani huendelea na Biashara zao walizozianzisha wakiwa chuoni.
 
Ni jambo zuri, ulivyolielezea sasa haujasema uwo mpango umeanza mwaka gani sasa hivi kuna entity ngapi zimezalishwa na mpango husika
biashara zao wenyewe wakiwa wangali shuleni jambo linalo pungruza ukosefu wa ajira kwa wanafunzi wamalizapo elimu ya chuo kwani huendelea na Biashara zao walizozianzisha wakiwa chuoni.
Naona ngoma umefast forward umekimbilia kwenye kauli za kisiasa. Toka mpango uanze je kuna graduate ishawatoa?
 
Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi.

Chuo hiki kinahakikisha mwanafunzi anapoingia chuoni hapo anapeleka wazo la biashara/kampuni yake anayotaka kuifungua na chuo humsaidia katika usajili na uendelezaji wa wazo hilo la biashara.

Wanafunzi huunda kampuni na kuendesha biashara zao wenyewe wakiwa wangali shuleni jambo linalo pungruza ukosefu wa ajira kwa wanafunzi wamalizapo elimu ya chuo kwani huendelea na Biashara zao walizozianzisha wakiwa chuoni.
Hili lingekua lengo la kila chuo ingekua poa sana
 
Rafiki yangu Meneja Wa Makampuni najua unajua kuwa nakuheshimu sana embu achana na hizo habari bwana

Vipi lakini kwenye mgao wa bandari upande wetu wa kanda ya kusini mgao uliupata au ilikula kwako ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom