Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,438
1,388
Tanzania Airports Authority (TAA) is a Government Executive Agency established to operate, manage, maintain and develop Government owned airports with a commercially oriented Management style. As of implementing its Organizational Structure, TAA hereby invites applications from suitably qualified, creative and results driven candidates to fill the following vacant posts;

Screenshot 2023-09-01 135614.png
Screenshot 2023-09-01 135632.png
Screenshot 2023-09-01 135647.png
Screenshot 2023-09-01 135712.png
Screenshot 2023-09-01 135736.png
Screenshot 2023-09-01 135752.png
Screenshot 2023-09-01 135808.png
Screenshot 2023-09-01 135824.png
Screenshot 2023-09-01 135839.png
Screenshot 2023-09-01 135857.png
Screenshot 2023-09-01 135917.png
Screenshot 2023-09-01 135933.png
 
Tanzania Airports Authority (TAA) is a Government Executive Agency established to operate, manage, maintain and develop Government owned airports with a commercially oriented Management style. As of implementing its Organizational Structure, TAA hereby invites applications from suitably qualified, creative and results driven candidates to fill the following vacant posts;

Naweka kambi huu Uzi watu wameususa
 
Anayeijua hii TAA naomba anipe maslahi kuna dogo wangu wakaaply hapo kweny operation officer na pia kaniambia ni kwa mda wa mwaka mmoja ...
 
Kwa ndege zipi walizo kuwa nazo, kama kuna kitu kina changamoto kusafiri kipindi hiki usafiri wa ndege.

Yaani kucheleweshwa Airport masaa matano ni kawaida. Au kupelekwa hotel mlale ndege itafika usiku ndo muondoke ni kawaida.

Btw hizo kazi ni za watoto wa wakubwa kama huna connection kaa kwa kutulia.
 
Ndugu unachanganya madesa,hawa hawahusiki na ndege kabisa, wao ni Viwanja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom