tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu, wenye maslahi binafsi kuvuruga tunu ya amani

    "...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu. Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kurudisha Tanzania moja kwa uchawa! Ukweli pekee ndiyo njia

    Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Biashara Zenye Mzunguko Mkubwa Sana Tanzania: Fursa Kubwa Kwa Wafanyabiashara Wadogo

    Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku. Kama unatafuta...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike nchini Tanzania wafuata ndoto zao kwa kujifunza lugha ya Kichina

    Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake, akiwaongoza kwa umakini jinsi ya kutamka maneno ya Kichina kwa kufuata lafudhi sahihi. Katika...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania: Baadhi tupunguze "Ujuaji" Usio na "Tija"

    Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa kuliko CCM

    Hapa ndio nyumbani, hapa ndio nilikozaliwa na kukulia. Hii ndio ardhi pekee najivunia nayo Samia, CCM na machawa wako wote ni takataka mbele ya Tanzania. Polisi wako wauaji, mafisadi wenu wote na huyo Chande, ni takataka mbele ya Tanzania Kamwe msije mkadhani hii ardhi inamilikiwa na CCM...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Reuters: Tanzania Acknowledged of killing more than 500 of its own people

    Reuters - At least 518 people were killed in violence that broke out during Tanzania's elections last October, a government-appointed commission of inquiry said on Thursday, in the first ‌official acknowledgment of the scale of the deadly unrest. The commission, however, placed the blame for...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa Wito kwa EAC Kuimarisha Ushirikiano katika Ulinzi na Usimamizi wa Maliasili

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha zaidi ushirikiano wa kikanda katika kulinda na kusimamizi endelevu wa mazingira na maliasili, ikisisitiza umuhimu wa jitihada za pamoja katika kukabiliana na changamoto zinazoendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Wachina wamejaa Tanzania, sasa hivi wameanza kuhamia Mbeya

    Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko Kuna hawa wanaishi huku yani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania Commission of Inquiry: Riots Were Planned & Funded

    Tanzania’s Commission of Inquiry : Riots Were Planned, Funded, and Strategically Coordinated Africa J&L Correspondent, Dar es salaam A commission of inquiry has concluded that recent riots and demonstrations were not spontaneous, but instead carefully planned, coordinated, and financed...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
  15. JamiiForums Tanzania Electrical supplies in Tanzania

    🎯CHIMBO LA VIFAA VYA UMEME KARIAKOO Rafiki Electrical & Tech Solutions Tupo Kwa Ajili Yako💡 ✅ TUNAUZA NA KUTENGENEZA VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME WA MINARA, VIWANDA, UMEME WA NYUMBANI, VISIMA, MOTORS N.K JUMLA NA REJAREJA Tupo Dar es Salaam, Kariakoo 📍 🚚 Delivery mikoa yote Tanzania Na Nje Ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati 30% ya magari ya Serikali ya Rwanda yakitumia umeme, Tanzania inang'ang'ania magari ya Mafuta kisa upigaji

    Wakati Tanzania ikinunulia Wakuu wa Mikoa na Maafisa Tawala, Magari mapya yanayotumia mafuta ambapo Kila gari limenunuliwa kwa shilingi milioni mia nne na hamsini, Serikali ya Rwanda imeziagiza taasisi zake kuhakikisha kuwa angalau asilimia 30 ya magari mapya yanayonunuliwa ni ya umeme. Hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Tanzania tungeandaa AFCON Peke yetu tungefaulu lakini kuwekwa kapu moja na walioahindwa kulipa hadi ada Samaki wameoza wote

    Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao? Kenya Hadi hela ya ada wameenda kukopa ndio wakalipa hapo juzi.Wana uwanja mmja tuu ,viwanja vya mazoezi...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tanzania ni kama tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja cha siasa

    Licha ya Mataifa ya Afrika kuridhia mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka 1989, baadhi yao yameshindwa kuendeleza demokrasia ya vyama vingi, huku watawala waliochaguliwa na wananchi wakiziendesha nchi zao kidikteta. Tanzania iliyoridhia mfumo huo mwaka 1992, imepita katika milima na mabonde...
  19. JamiiForums Tanzania Sheria za tume ya uchunguzi Tanzania

    Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Smuggled from Tanzania! “Spare Parts” ama Cover-Up? Python Ya 13ft Yakamatwa Ikiwa Inaingia Nairobi

    Story imechoma moto online after polisi wa Namanga One Stop Border Post kunasa python kubwa sana ndani ya basi iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kuelekea Nairobi. Kwa mujibu wa Kenya Police Service, nyoka huyo wa karibu 13 feet alipatikana akiwa amefichwa ndani ya crate ya mbao iliyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…