Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,073
Imagine taasisi au mtu wako upande wa mtesi wako baada ya kumu'cancel na kumignore huyo mtu unaenda kumjazia comments za matusi kwenye page yake.
Hata humu ndani mtu threads zake huzielewi ignore him/her,kumjazia matusi na kashfa ni kumpa attention ya bure.
Angalia right now attention mnaziwapa hao wasanii kwa kuwajazia hayo matusi ,mnadhani yanawauma? Just unfollow, ignore,block them
Kiherere na mda wa kwenda kujiongelesha kwa mtu mnautoa wapi?
Attention is expensive asee,tuiezi cancel culture inawauma kuliko hayo matusi mnaowajazia.
Kwaajili ya amani ya moyo cancel them
Tatizo hamjui power mlionayo!!!!