Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mabadiliko Yote muhimu lazima yaanzie katika fikra na mtazamo.
Watanzania wengi tumekuwa na changamoto ya kuwa na fikra na mtazamo wa utegemezi kutoka mahali fulani.
Watoto wanakuzwa wakifundishwa kutegemea serikali kuwapatia kazi na maisha Bora.
Viongozi wanategemea nchi kuendelea kwa misaada...
TANZANIA KUA KITOVU CHA BIASHARA AFRIKA NDANI YA MIAKA 25 KWA LENGO LA KUKUZA UCHUMI.
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi ambayo imepakana na Bahari ya Hindi upande wa mashariki mwa Afrika na kuzungukwa na Nchi nyingine nyingi upande wa Kaskazini, Magharibi na Kusini ambazo kwa miaka mingi zimekua...
Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao kwanza na kutafuta jinsi ya kujilimbikizia mali.
Kitendo cha kununua magari ya zaidi ya milioni 300...
Je, wewe ni mkandarasi, mzabuni wa kusambaza vifaa, au mshauri elekezi wa miradi mbalimbali ya ujenzi na unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘Nationale-Procurement System of Tanzania’?
For more info: freelancer3518@gmail.com
Tanzania, like many nations, faces the challenge of balancing punishment with rehabilitation within its prison system. While incarceration aims to deter crime and protect society, a purely punitive approach often fails to address the root causes of criminal behavior, leading to higher recidivism...
Kuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya maendeleo ya watu na miradi ya maendeleo ya vitu ili kupunguza umaskini wa vipato.
Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuja juu sana kwa swala zima la ukuaji wa uchumi, na hii inachochoewa na kasi ya maendeleo hasa hasa miundo mbinu, Tuna miradi mingi sana ya...
NAITAMANI TANZANIA MPYA
Ni zaidi ya miaka 60 sasa tangu Tanzania ipate uhuru kutoka kwa mkoloni mwingereza. Hali zote za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na maisha ya kijamii zimebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Kuna mabadiliko mengi mpaka sasa ambayo serikali katika awamu tofauti tofauti...
Wakati wa kulinganisha sababu na athari za ununuzi wa ardhi na UAE katika nchi za Afrika kama Tanzania, ni muhimu kuangalia motisha na matokeo ya muda mfupi na mrefu. Hapa kuna sababu kuu na athari zinazohusiana:
Sababu za UAE Kununua Ardhi Afrika
1. Usalama wa Chakula: UAE ina eneo dogo la...
Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili.
Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
Nishati ni ule uwezo au nguvu ya kufanya kazi inayoleta matokeo Fulani ambayo yanaweza kuwa chanya au hasi, nishati imegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni nishati safi na nishati chafu. Nishati isiyo safi ni aina ya nishati ambayo husababisha madhara ya kimazingira mara baada ya...
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
akili mnemba
bima ya afya kwa wote
gharama za matibabu
hifadhidata
matibabu ya kibingwa
matokeo chanya
suluhisho
takwimu za afya
tanzania
wizara ya afya
Ajali nyingi zikitokea huwa tunasema ni uzembe wa dereva mm sikatai Kuna muda ni kweli ila Kuna muda nakata sio uzembe wa dereva Bali ni uzembe wa mmiliki wa hicho chombo.nitatoa vitu vinavyo weza kumaliza tatizo la ajali Tanzania miaka mitano mpaka kumi ijayo kama serikali ikiamua
1. Gari...
M. M. Mwanakijiji
UANZISHAJI WA TRENI YA KITABIBU IFIKAPO 2027
Introduction:
Tanzania, like many developing countries, faces significant challenges in providing adequate healthcare services to its population, particularly in remote and inaccessible areas. In response to this need, we propose...
Rais Ruto na Rais Kagame, wameungana na Kwa sasa Tanzania imebakia kibogoyo sio bandari Wala makongamano ya kimataifa.
Kwa sasa mizigo ya eastern DRC inapitia Mombasa, Burundi nao wengi wameenda Mombasa, Rwanda kwa sasa anapitia mombasa.
Hao wote wanadai bora wakatembee umbali mrefu lakini...
kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira
kitu kama
1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na...
TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE
Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi.
Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile unategemea sana uwekezaji kwa binadamu katika umri wa awali wa maisha ya mwanadamu hususani umri 0 -2...
Habari wadau,
Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi.
Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za mawaziri ambazo zinahitaji umakini wakati wa uteuzi na ikiwezekana uanzishwe utaratibu wa kupata...
During a parliamentary session on May 29, 2024, Special Seats Member of Parliament Tunza Malapo questioned the government's stance on the price hike, noting that a voucher previously costing Sh500 now sells for Sh600. She stressed the confusion among citizens regarding this price increase.
The...
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗜𝗗𝗘𝗡𝗧 𝗣𝗔𝗨𝗟 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗡𝗗𝗔?
◾It's almost laughable to fathom the thought that the abrasive and pseudo-populist Arusha Regional Commissioner could even be considered as a future President of Tanzania
◾A chequered past, questionable education background, authoritarian streak and unhinged personality...
Utangulizi
Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua na kuwa janga la kitaifa, likiwaathiri zaidi vijana, ambao ni tegemeo la taifa kwa maendeleo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.