Hizo zingine ni security codes ambazo mtumiaji huingiza mara moja tu, kisha baadaye unaendelea kama kawaida baada ya hizo.TANESCO nashangaa na sielewi mbona mnatupa TOKENI tatu tatu?. Aisee kuandika hayo manamba ni kazi sana rudini kwenye utaratibu wa tokeni moja.
View attachment 3031867
Wanalinda kitu gan, mita zisidukuliwe au ?Hizo zingine ni security codes ambazo mtumiaji huingiza mara moja tu, kisha baadaye unaendelea kama kawaida baada ya hizo.
Uwekaji wake ni speed bila kuacha nafasi ya mita kuanza upya. Zoezi hili linaenda mikoa kwa mikoa. Na lengo ni security tu.
Ova.
Unit 14Mbona umeficha hiyo afu 5 . Tunataka tuone umepata unit ngapi
Zinaitwa funguo za kufungua luku. Ukifungiwa luku mpya, umeme wao ukiisha, kuna namba unazopewa zinaitwa funguo ili uendelee kuingiza umeme.Mkuu em acha kulalamika hovyo, ilipaswa kuuliza na sio kutoa lawama.
Hapo umeambiwa mita yako inafanyiwa marekebisho na unatakiwa kuingiza hizo namba kwa mpangilio ili kufanya hayo marekebisho, sasa cjui unacholalamika kama mtoto wa kike n nn
Anyway, umeficha hizo namba kwa kujiona una akili kumbe kichwa maji.
Sasa mtoa mada analalamika tuu utadhani amekatwa kichwa kufikiria kuomba msaada kujuaZinaitwa funguo za kufungua luku. Ukifungiwa luku mpya, umeme wao ukiisha, kuna namba unazopewa zinaitwa funguo ili uendelee kuingiza umeme.
Kwa kawaida taasisi kubwa zinazotoa huduma kwa jamii zinazohusu malipo ya fedha, huwa na utaratibu wa kuwa huduma za security za Microsoft.Wanalinda kitu gan, mita zisidukuliwe au ?
Huku walitoa Maelezo kuhusu hilo!