tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

    AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste...
  2. Najiuliza ya kwamba, Serikali yetu ya Tanzania inashindwa nini kutengeneza Kijiji Cha vijana kama incubation center

    Najaribu kuwaza tu, unaweza kugharimu shilingi Ngapi kuanzisha...vijiji vya incubation center kwa ajili ya vijana ambao pale watajifunza mambo kadha wakadha..km vile Technolojia za kisasa...Kilimo, viwanda...mafunzo ya Vocational training km VETA, Uchimbaji wa madini, uchakataji wa Vito...
  3. Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

    1. Ally Hassan Mwinyi 2. Jakaya Mrisho Kikwete 3. Samia Suluhu Hassan Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
  4. Tanzania tuna kwama wapi,Angalia uganda wamezindua mabasi yao

    Mtu kama masoud kipanya sio wa kumkatisha tamaa. Uganda wametengeneza mabasi ya mwendo kasi na aina tofauti.
  5. Tanzania, kila Kona kwenye miradi mingi Kuna ubadhilifu, je serikali inasajili vibaka? Wezi?

    Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo! Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana. Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na...
  6. Kampuni ya ndege Tanzania ATCL imeongeza ofa ya Krisimasi

    Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inayofuraha kuwaongezea wateja wake ofa nyingine, maalum kwa abiria wa ndani msimu huu wa sikukuu.
  7. B

    Mwili wa mwalimu John Ogutu aliyeuawa Tanzania uliishia wapi?

    Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky. Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka...
  8. K

    Mwananchi: Gen Z subirini tufe kwanza ndo muiwashe Tanzania moto, tusikubali kudanganywa na mabeberu, vijana fanyeni kazi

    Wakuu, Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini? Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
  9. Kama Ruto must go ilifeli Kenya, kwetu Tanzania Samia must go itafaulu kwa njia zipi?

    Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana, Wakenya walipata sapoti ya Media, Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri, Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge, Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote. Japo wakenya...
  10. H

    Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  11. Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  12. M

    Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  13. Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
  14. M

    Tanzania seeks US lobbyist to quell criticism over post-election violence

    Dec 15, 2025 The Tanzanian government is on the hunt for a Washington lobbyist to help “shape its narrative” on Capitol Hill and beyond as the East African nation reels from post-election violence that has spawned its biggest political crisis in decades, according to two people familiar with...
  15. Mahmood Thabit Kombo -Great Tanzania Diplomat of our times

    When I do my fair analysis to the steps taken by Mahmood Thabit Kombo who is the incumbent Tanzania Foreign Minister,I come up with an honest conclusion ...that this man is just but an African "Sergei Lavrov". He is very humble,knows how,when and what to express as a Diplomat. I sotherefore...
  16. Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

    Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF, Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na...
  17. GOOGLE Review 2025 inaweza kuweka ya Tanzania nahisi

    Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita. Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa mtindo hupi. Ila peak up bandwidth za kuzungumziwa sana. Najua sana sana mwisho wa mwezi dec...
  18. Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

    Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba, Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na...
  19. Ipi nafasi ya Tanzania katika mgogoro wa Mashariki mwa Congo (DRC)?

    Kinachoendelea Mashariki mwa Congo DRC si mgogoro wa mbali kama wengi tunavyodhani. Huu ni mgogoro ambao hakuna nchi ya Afrika Mashariki itakayobaki salama. Kuna chaguo mbili tu: ama uwe sehemu ya mchezo na uchague upande, au ubaki mpweke kisha upokonywe hata kile kidogo ulichonacho. Tukirudi...
  20. Kupiga picha na Guterres haitoshi kuthibitisha kuwa UN imepongeza Tanzania

    Anaandika Godlisten Malisa Hii inaweza kuwa political spinning tu. Kwenye strategic communication & media framing kuna kitu kinaitwa “biased interpretation” yani kutafsiri picha kwa upendeleo ili kuunda taswira chanya kwa jamii. Hujawahi kuona mtu anapiga picha na mtu mashuhuri halafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…