tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Huyu ndio mtoto mwenye akili nyingi kuliko wote Tanzania 2024

    Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu. Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu. Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako. Amen na Jumapili njema WE PROTECT THIS...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Zanzibar ni vitu wivili tofauti kabisa, yawezekana hata viongozi wetu hawawezi kutofautisha kati ya Tanzania na Zanzibar

    Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake. Utata usiomithirika. •Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu ndipo utagundua kuwa haya maneno yana utata sana. Kuna watu...
  3. JamiiForums Tanzania Theresia Dismas : Mama jasiri aliyeiletea Tanzania medali ya kwanza 1965

    Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii. Ukweli ni...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akichaguliwa rais wa Tanzania utafanya nini?

    Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

    Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini. Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Sitashiriki kamwe chaguzi yoyote nchini Tanzania kwa sababu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi

    Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed: Chagueni CCM kwa Maendeleo, Amani na Ustawi wa Tanzania

    SHEMSA MOHAMMED: CHAGUENI CCM KWA MAENDELEO, AMANI NA USTAWI WA TANZANIA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameendelea na Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 katika Wilaya ya Busega na kuwasihi wananchi wapenda maendeleo kuwaunga mkono...
  8. JamiiForums Tanzania Uhalifu wa mitandaoni tanzania basi tena!!!! 2024 /2025

    Serikali nchini Tanzania imeamua kuunda kikosi Kazi maalum cha kufuatilia makosa yote ya uhalifu mtandaoni, baada ya kufanyika mkutano wa wadau wa mawasiliano Jana novemba 22 mwaka 2024. Mkutano ulifanyika makao makuu ya mawasiliano Tanzania (Tcra) , Dar es salaam ukihudhuriwa na Waziri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  10. JamiiForums Tanzania Toyota rav miss Tanzania

    Wakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango huo kwa used
  11. JamiiForums Tanzania Kabla wabantu hatujaingia Tanzania, inaonekana nchi ilijaa mbilikimo

    Wengi tukisikia mbilikimo huwa tunawaza wale wa misitu ya Congo, lakini historia inaonyesha kusini yote ya Africa, yaani kuanzia misitu ya Congo, kuja Uganda, Kenya kidogo, Tanzania yote hadi Africa kusini kulijaa mbilikimo na Wasan (Wabushemen). Wabantu walipokuja wakachanganyana na mbilikimo...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA inazidi kuchukiwa kila kona ya Tanzania, kutokana na kupoteza uelekeo na utovu wa nidhamu na ukaidi wa sheria kwa waandamizi wake nchini

    "Mtashurutishwa kutii ratiba, kanuni na sheria za nchi bila shuruti mpaka lini chadema yangu? Vijana wanatukana viongozi wa nchi wanaachwa tu? Nani atatupenda chadema, na nani atatuheshimu sisi kama chadema kwa hali hiyo? Tutaacha kugawanyika kweli kama ndio hivi? nani atachagua watu ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa kujadili amani na usalama Ukanda wa Maziwa Makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ataongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kawaida wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje (RIMC) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) utakaofanyika jijini Luanda, Angola...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hongera mama Sasa tumekuwa ngoma moja na Brazil kimpira Tanzania inaogopeka sana umenyanyua soka la bongo.

    Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote ni guvu ya goli la mama Mitano tena.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

    Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe! Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania siyo masikini, tumeshindwa tu kutumia rasilimali vizuri

    Wakuu, “Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna...
  19. JamiiForums Tanzania Sisomi tena TANZANIA

    Mfumo wa elimu wa wengi umewafunza kuomba nafasi mezani ilihali maisha yanataka mtu achukue(ak-claim) nafasi yake mezani kibabe. Ukiomba unaweza kupewa ama kunyimwa, ukichukuwa nafasi yako mezani kibabe kila mtu atabaki akijiuliza, huyu ni nani? Nani yuko nyuma yake? Ametoa wapi ujasiri...
  20. JamiiForums Tanzania Sijaona Mkuu wa Mkoa bora Tanzania hii kumzidi RC Mtanda

    RC Mtanda piga kazi usiyumbishwe na maneno ya wakosaji sisi ambao tunakufahamu tunajua wewe sio mtu wa maneno ni mtu wa vitendo kwanza haupendi uonevu wewe unajali kuwaletea maendeleo wananchi tu ona sasa Mwanza ulivyobadilika baada ya kuingia wewe kuwa mkuu wa mkoa endelea kupiga kazi mkuu sie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…