tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Jumla ya watu wenye elimu ya shahada ni wangapi Tanzania kwa sasa?

    Ina maana tunakuwa na wasomi wenye shahada 3,200,000 Basi tufanye na diploma 3,200,000 6.4M Idadi ya watu ni milion 70 Au basi takwimu zinaonesha mambo mengii
  2. JamiiForums Tanzania Mawazo ya takayoibadilisha Tanzania kiuchumi yawasilishwa 30 Bora

    Vijana watanzania wana uwezo mkubwa wa ubunifu na hapa wamekuwekea mawazo bora 30 ya ubunifu yatakayoweza kuiokoa Tanzania wakati wa majanga ya kimataifa kama vile kushuka kwa uchumi, vita, n.k angalia video https://www.youtube.com/live/fqDRayIY5m0?si=Kg9vG7gxYUUF-4KX
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kuhusu umiliki halali wa silaha za moto kwa mujibu wa sheria za Tanzania

    Angalizo muhimu: Huu uzi ni kwa ajili ya kupata taarifa na hauhusiani na uvunjifu wowote wa sheria za nchi. Kama hii topic inakuzidi uelewa au huna jibu la swali lolote nililouliza hapo chini, si lazima uchangie (nipo serious kidogo, mazoea tuyaweke pembeni). Maswali: Naomba kujua, ni zipi...
  4. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

    Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa. Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe. Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao. Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: wafuasi na Viongozi wa CHADEMA heshimuni kauli za viongozi wetu hiyo jeuri yenu kafanyieni kwenye nchi zingine siyo Tanzania

    Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli. Hamna mtu mwenye uwezo...
  6. JamiiForums Tanzania Leo wafuasi wa CHADEMA hawajalala wamekesha jukwaani. Kuweni makini siasa zitawapa hypertension Tanzania is very strong than ever

    Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini. wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema. Leo mmekesha mnaandika nyuzi 🤣🤣 Nendeni mkafanyie mikutano kwa mabeberu ili mkasalimie na wake na watoto wenu Poleni sana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa mashuhuri kuliko wote Tanzania yupo Gerezani!

    Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
  8. JamiiForums Tanzania Natabiri uchumi wa Tanzania utashika kwa kas ya 4 g 2027

    Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo kwa sabbu ya upinzani bali kwa kishindwa kuzibiti uchumi hal itakuwa mbaya sna hakuna mtu atatak...
  9. JamiiForums Tanzania Utaratibu gani wa kufuata kuanzisha taasisi ya kusimamia maslahi ya Atheists Tanzania?

    Kama watu wanataka kuanzisha taasisi ya atheists nchini kupigania au kufanya harakati mbalimbali za kutetea maslahi ya atheists nchini wanatakiwa kufuata utaratibu gani na watasajiliwa usajili sawa na makanisa au taasisi za kidini?
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  11. JamiiForums Tanzania Wakimbizi: Tanzania ni kisiwa cha Amani, tunaomba mzidi kuilinda amani hii

    Jumla ya Wakimbizi 155,811 wanaohifadhiwa katika maeneo mbalimbali nchini wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kulinda amani iliyopo nchini huku wakiweka wazi madhara ya kutoweka kwa amani ambapo wamejikuta wakipoteza kila kitu na...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  13. JamiiForums Tanzania Imihigo: Mfumo wa Kuwawajibisha Viongozi wa Tanzania

    Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
  14. JamiiForums Tanzania Uchimbaji Visima Tanzania: Bei kwa Kila Mkoa

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli kwa mambo yanavyoenda Baba au Mama yako anaweza shindwa kuwa Rais wa Tanzania? Kwa kigezo cha Uwezo wa Tuliyenaye sasa

    Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii Je mzazi wako anaweza shindwa iongoza Tanzania kama Rais? Maana zamNi cheo cha Urais was a...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa matamko ya waziri wa ndani ni rasmi Tanzania imekwenda na maji. Tupo kwenye utawala wa kijeshi.

    Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya ndani bila kutoa sababu za msingi. Tangazeni hali ya hatari ili tujue tunabanana vipi maana maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania hata mwenyekiti wa mtaa anataka ashinde ofisini muda wote badala afanye kazi zingine haya sasa ToneTone imekoma leo rasmi.

    Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
  18. JamiiForums Tanzania Muungano unakwamisha mabadiliko ya kidemokrasia Tanzania?

    Inawezekana vipi mabadiliko ya kisiasa Tanzania kutokea kabla ya muundo wa muungano kushugulikiwa? Kwa tabaka tawala na state machinery suala la muungano ni kufa na kupona, kwao haiyumkiniki muungano kuvunjika kwa hiyo hata kama wangekuwa wanademokrasia vya kutosha wakubali ushindi wa upinzani...
  19. JamiiForums Tanzania Je, bado haujafika muda wa Tanzania kuwa na mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi nyaraka muhimu?

    Habari za muda huu wanajamvi, Kuna jambo huwa linanifikirisha mara kwa mara,hivi katika kipindi hiki ambacho teknolojia imeendelea kukua kwa kiwango kikubwa, je, haiwezekani serikali pamoj na sekta binafsi kuweka mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi taarifa na nyaraka muhimu za mwananchi...
  20. JamiiForums Tanzania Je ni kweli, Dar es Salaam ndio center ya mafanikio hapa Tanzania? Unamshauri nini kijana?

    Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini? Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…