funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,276
- 31,812
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe.
Matokeo bado ni 0-0.
Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa.
Kila la kheri kwao
Matokeo bado ni 0-0.
Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa.
Kila la kheri kwao