tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), yakabidhi miradi iliyokamilika wilayani Mtama na Masasi inayotekelezwa na TEA kwa ufadhili wa Mfuko wa Elimu

    Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko wa Elimu wa Taifa baada ya kukamilika kwa ujenzi wake katika Halmashauri za Wilaya ya Mtama na Masasi. Dkt. Akwilapo alikabidhi vyeti hivyo wakati wa...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mhaya akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akienda kuhutubia UN mambo yatakuwa hivi

    Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa. Halafu we Putin inaelekea huna kazi ya kufanya, ntakuletea Tanzanite utengeneze urembo uuze upate hela...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  5. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania TUMALIZE UBISHI: Nimeiuliza CHATGPT Which is The best football club in Tanzania

    BAAAS KWISHAAA
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!

    Wanabodi Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!. Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na ujuzi alioupata darasani?

    Habari za leo Wanajamiiforums? Kwanza kabisa niwashukuru madaktari kwa Kazi nzuri mnayoendelea kufanya🙏. Ila challenge yangu ni hii.Je, Kuna daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na ujuzi alioupata darasani? (Namaanisha ana tafiti yoyote ambayo amefanya inayoweza kuleta impact...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu

    Mahakama ya Afrika ya Haki ya Binadamu na Watu Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, (Sura ya 16) ndani ya mwaka mmoja kutokea leo tarehe 5/2/2025. Maamuzi hayo yametolewa na Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu, Arusha katika kesi ya Ladislaus Chalula dhidi...
  9. The Common

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania KUTOKA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    Kumekuwa na michango Mizuri kutoka kwa wabunge wetu,lakini pia kumekuwa na michango ya wabunge ambayo aijeng na aiwasaidii wapga kura wao,hivyo nimeona hapa tuwe na jukwa huru kuleta mawazo tofauti kutoka kwa wabunge ili watu wasome na kuweza kuchakata ni nini wamekifanya katika Miaka 5 hasa...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

    Zilianza kama tetesi: Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  14. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina mufti!Tanzania haina sheikh mkuu

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
  15. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Mufti, Tanzania haina sheikh mkuu!

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  17. snipa

    JamiiForums Tanzania Rwanda vs Tanzania Military system what in public makes Rwanda Stronger vs Tanzania and why Rwanda shouldn't try it.

    Guys Leo nimeona nizungumzie kuhusu air defense system ambazo Rwanda Wana deploy. Asilimia kubwa ya system ambazo ziko public Rwanda anazinunua zinatoka Russia lakini watz wengi wamekua na hofu kwamba Rwanda anakuwa more strong zaidi ya Tanzania na kubwa ambacho pia wengi hawaelewi ni...
  18. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila wachaga ingekuwa nyuma sana kimaendeleo

    Habarini! Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao hao kwa kiasi kikubwa wanachangia kwenye mzunguko wa hyo biashara kwa kufanya manunuzi ya Hali ya...
  19. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Starlink inasimikwa lini Tanzania? Tuungane kwa pamoja

    Wasalaam! Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania. Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba makampuni ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Nchi karibu zote Afrika tayari...
  20. Mowwo

    JamiiForums Tanzania 2025 Strongest Millitary Rank: Tunazidiwa vipi kijeshi na Msumbiji?

    Wakuu kwema? Sielewi, nimepitia Millitary Ranks za Africa kwenye Website kadhaa naona Tanzania tuko nyuma sana. Wataalam wa hii ishu eb nisaidieni, naona hadi Sudan wanatuzidi Kijeshi. Kwani tunafeli wapii? Siku ya uhuru nikiona wale makomandoo wanaopigwa na matofali nawaza tuko vizuri sana...
Back
Top Bottom