tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania

    10. Liti Kidanka. Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la kichwa chake liko huko Ujerumani. Aliunganisha watu na alitumia nyuki kupambana na...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

    Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Mbunge wa Tanzania ni kufuru

    Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu — Sh250,000 (siku) Posho kitako — Sh220,000 (siku) Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs) Mkopo gari — Sh90M (5yrs) Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka) Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makabila yapi Tanzania yana mila za wanaume kukanyaga au kuruka wanawake waliola chini?

    Mila nyingine zinachekesha sana, mojawapo ni hii mila ya kukanyaga au kuruka mawowo ya wanawake waliola chini.
  6. Loading failed

    JamiiForums Tanzania TRA kuna fani hazipo kwenye job careers yenu nini mustakabali wake kwa wasomi wa Tanzania

    Ndugu .. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
  7. Holoholo

    JamiiForums Tanzania FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

    Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo. Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa JKT Tanzania hakikisheni Yanga hawapiti mlango wowote zaidi ya ule mtakaopitia nyinyi, washaingia katika mfumo leo

    Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango mwingine tofauti na ule uliowekwa ukomeshwe leo, Utopolo hawana uwezo wowote zaidi ya nje ya uwanja...
  9. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushindi wa Lissu na Uchumi wa Tanzania

    Natanguliza pongezi za dhati kwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Tundu Lissu kwa kuaminiwa na kukabidhiwa Kijiti kuongoza chama kutoka kwa Freeman Mbowe. Lissu anafahamika kwa harakati zake za kitambo katika kupigania lile analoliamini na kulisimamia. Katika kampeni zake za kugombea uenyekiti wa...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi tukisema Tanzania tujitenge kikanda,unahisi ni kanda gani watapeta na ni kanda gani watakufa njaa?

    Me nahisi zitakazopeta ni hizi. 1.Lake zone 2.Southern Highlands 3.Nothern Highlands 4.Coast Zitakazokufa njaa 1.Central zone 2.Southern zone 3.West zone 4.Zanzibar
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

    Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema, "Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
  12. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Ugonjwa wa Kansa, Figo, Ini unaonekana kuwa ni tatizo Tanzania ?

    Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K ! Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini. Je, tatizo ni nini ? Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors . Hizo political fame za Janabi za kula...
  13. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania KERO Mtandao wa Halotel Tanzania umedorora kwa kiwango cha kushangaza, ukionyesha udhaifu mkubwa katika utoaji wa huduma za mawasiliano

    Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango cha 1GB kwa kila siku tatu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kasoro katika mfumo wa usimamizi wa data au...
  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua haya kuhusu hizi temporarily employment za Tanzania Airports Authority (TAA)

    Naomba kuuliza 1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo? 2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
  15. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Je, App ya Biashara ya Vipuri Kama BeForward kwa Soko la Tanzania Itafanikiwa au ni Kupoteza Muda?

    Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii itawawezesha wafanyabiashara wa vipuri kuorodhesha bidhaa zao, na wanunuzi wataweza kutafuta vipuri kulingana...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanganyika iliponea chupuchupu ardhi yake yote kutwaliwa na wakoloni!

    Ardhi karibu yote inayofaa kwa kwa Kilimo Namibia inamilikiwa na wazungu masalia ya wakoloni Wajerumani na makaburu wa Africa Kusini! Kizazi cha wakoloni ambacho ni 6% wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo Namibia! Huu ni wendawazimu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kuhusu kodi/tozo/ushuru nchini Tanzania zifaazo na zisizo faa

    Habari wananchama na wasio wanachama. Nimeamua kuleta huu uzi kama haupo unaofanana nao tuweze kujadili 1. Kodi/tozo/ushuru kandamizi ziweze kuondolewa 2. Maoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato 3. Namna za ukwepaji wa kodi/ushuru/tozo na kuweza kudhibiti. 4. Tukumbushane pia kodi...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

    Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba...
  19. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

    Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa. ROUTE zilizokuwa maarufu kwa wafanyakazi wa NGOs za...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajipanga kufanya sensa ya viwandani mwakani

    Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na Zanzibar. Sensa hiyo ambayo mara ya mwisho ilifanyika miaka 12 iliyopita, inalenga kukusanya takwimu katika...
Back
Top Bottom