tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msaga sumu akitumbuiza Mei mosi asema Tanzania kama ulaya, Rais Samia anaupiga mwingi

    Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mei mosi ya matumaini: Rais Samia aandika rekodi mpya ya wafanyakazi Tanzania

    Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika macho...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  4. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ni kubwa kwa Nchi ambazo hazifungamani na upande wowote duniani.

    Kanisa roman catholic ni kubwa kuliko serikali ya Kenya na nchi zingine matumizi ya nguvu bila akili kitaonekanan kinachotafutwa kila mtu atakuwa anaongea lake kwenye serikali yake.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
  6. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2 Morocco 3 | Futsal WAFCON 2025 | Final Match

    Game iko on fire
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA haiwalipi vibarua kwa wakati suala linalowapunguzia morari

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Siku ujinga ukiwatoka wafanyakazi wa umma wa Tanzania, ndipo siku watakuwa na masilahi bora

    Wafanyakazi wa hii aridhi ya Tanzania hawana tofauti na Wanafunzi wa Chekechea, ambao wanaogopa hata kuomba ruhusa mwalimu awende kujisaidia na hadi wanajikojolea au kujinyea. Wafanyakazi ni waoga kama digidigi wa porini, utakuta wanataka mtu awasemee, eti fulani tupazie suati tuna kandamizwa...
  9. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika

    Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika. Waalimu watasombwa kama mihogo wakiwa na matishirt yao ya CWT wakiwa wamepauka na kukomdeana, wataandaliwa lisala ya kumsifia mama weeee! Baada ya hapo watarudishwa kwao wakiwa wamejazwa kwenye malori kama matahila. Mwendo ule...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Simba ya Fadlu ni 'Cold blooded animal ' Kombe la CAF Confederation kubaki Tanzania

    Simba hii imekuwa ya kushangaza, ni Simba ambayo Sisi Wana Simba tumeyasikia mengi! Cha kushangaza, toka Tu uongozi ulipomtangaza kocha mpya NI Fadlu. Ukweli yalisemwa mengi ya kejeri nk. Eti kocha hajawai kuwa kocha mkuu, ataiwezaje Simba! Niliwahi waambia watu kuwa ubuyu ulianza Kama mchicha...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

    FULL TIME: SOUTH AFRICA 1 - TANZANIA 0 Siku ya leo tarehe 30 April, majira ya saa 12 jioni kwa masaa ya Africa Mashariki, vijana wetu wa Tanzania walio chini ya miaka 20 almaarufu kama Ngorongoro Boys watakipiga na vijana wa South Africa katika mechi za kundi A ya CAF U20 AFCON. Hii ni mara...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tunataka Rais na Tanzania ya kufunga mkanda na kuuma meno

    Ukweli tunaujua, tumechelewa sana, tulizubaa sana, tuliibiwa, tulidanganywa sana na tuliporwa sana. Sasa hivi tunataka kiongozi wa matokeo ya leoleo bila kungojea tena. Tunataka Rais ambae atatuambia ukweli na anaefahamu kuwa tuliibiwa sana, tumechelewa sana na tulizembea sana. Tunataka Rais...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji

    Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amemhakikishia Waziri mpya wa usafirishaji wa Comoro Bi. Hassane Alfeine Yasmine kuwa Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano uliopo katika sekta ya usafirishaji wa Angani na Baharini...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vietnam kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara

    Tanzania na Vietnam zimekubaliana kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi ili kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye mazungumzo yaliyofanyika leo Aprili 29,2025 kati ujumbe wa Tanzania na Vietnam uliojumuisha wafanyabishara...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni MAKUPE walioiganda Serikali ya Tanzania

    Angalia ikiwa wewe au watoto wako mna kupe katika ukoo wenu, CCM na serikali yake yote vikiwemo vyombo vyake havina tofauti na mdudu Kupe. CCM sio chawa ni kupe.
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Masikini wa Marekani ni hatari mara bilioni kuliko masikini wa Tanzania

    Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

    Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani. Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla. Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa...
  19. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Vietnam kufungua maeneo mapya ya ushirikiano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na Kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa yote mawili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo...
Back
Top Bottom