tangazo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "nipo tayari" tangazo la voda umeimbwa na Msanii/Wasanii gani?

    Wimbo ananivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
  2. JamiiForums Tanzania Tangazo la TLPGA halitufaidii watumiaji wa gesi ya kupikia

    Tangazo linalotolewa na chama cha waingizaji wa gesi ya kupikia(TZLPGA) haitatui matatizo yanayotupata watumiaji wa gesi ya kwenye mitungi ikiwemo ujazo na ubora wa vichomea(burner). Vichomea vilivyopo mitaani ni vya viwango vyachini pamoja na uwepo wa TBS na Tume ya Ushindani, vingi yya vifaa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Wakristo ni lazima kutumia 2 Timotheo 4:7 kwenye tangazo la kila Mkristo aliyefariki ?

    "Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda"
  4. Z

    JamiiForums Tanzania “Sitasahau Kazi Niliyoipata ya Kuuza Vyombo Mtaani

    Nakumbuka siku moja nikija kwenye msoto na ukata + jobless,nimekaa zangu nasikiliza redio flan kipind cha michezo. Mara likatolewa TANGAZO LA KAZI,nikaona fursa hii hapa,nikanakiri zile namba. Baada ya kumaliza kipindi cha michezo nikaamua kuipiga ile namba....mara nikasikia saut ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotea Kwa Bi. Eda Seme

    Asalaam alyekum, Wapendwa mnaye muona hapo juu amepotea tangu jana majira ya asubuhi akitokea kibaha kwenda Kimara. Mama yetu kipenzi haongei na hasikii ukimpata mpe kalamu anaweza kuandika jina lake anaitwa Eda Seme. Tafadhali unapomuona piga namba hii 0784325989/ 0683460400 kwa mawasiliano.
  6. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi Ya Kazi - Kuuza Hardware

    Tafadhali Soma Kipeprushi na uombe kama una vigezi vilivyoainishwa.
  7. JamiiForums Tanzania TQNGAZO,

    kwa wenye uhitaji wa housegirls, shambaboys,wenye utiifu na uwajibikajikuanzia miaka 18 nakuendelea , contact us delivery ni Tanzania yote kwa uaminifu mkubwa!!
  8. JamiiForums Tanzania Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la treni maalumu kwaajili ya nanenane

  10. JamiiForums Tanzania TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa haipiti siku sijakutana na tangazo lao la kazi,huwa wana matatizo gani mpaka wafanyakazi wanawakimbia?

    Wanajiita platinum credit Ikipita siku hawajatoa tangazo la kazi ni bahati sana. Sijajua wana tatizo gani!
  12. JamiiForums Tanzania Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai

    Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai na metical attendant Kituo cha kazi Dar es salaam Namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
  13. JamiiForums Tanzania TANGAZO

  14. JamiiForums Tanzania Njoo Nikuandikie Tangazo Na Wewe Mapato Yaongezeke Asilimia 102% Ndani Ya Siku 92

    Sio kwa ajili ya kila mtu. Ni kwa wale ambao umeshajaribu kila kitu. Na bado umekwama. Kama unahangaika kupata wateja online. Umetengeneza video yako. Umeandika caption. Umeweka pesa nyingi kwenye tangazo. Na matokeo bado ni hola. Huu ujumbe unakuhusu. Miezi mitatu iliyopita kuna mteja...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kichina lilivyozua mjadala mitandaoni wa chuki na Ubaguzi wa Rangi mwaka 2016

    Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa rangi. Tangazo hilo lilimwonyesha binti mmoja wa Kichina akimsukumia kwa utani mwanamume mweusi...
  16. JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za Ushauri wa Biashara

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USHAURI WA BIASHARA Amicable Group Holdings Limited inatoa huduma za kitaalamu za Ushauri wa Biashara (Business Consultancy) kwa watu binafsi, vikundi, kampuni, taasisi na wafanyabiashara wanaohitaji kuanzisha, kukuza au kuboresha biashara zao. Tunatoa huduma za: ✔️...
  17. JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za usafi

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USAFI Amicable Group Holdings Limited ni kampuni inayotoa huduma za usafi wa viwango vya juu kwa watu binafsi, taasisi, makampuni, ofisi, shule, mabweni, hospitali, viwanda na maeneo mbalimbali ya biashara. Tunapokea kazi za: ✔️ Usafi wa ofisi, nyumba, shule, vyuo na...
  18. JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za usafi

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USAFI Amicable Group Holdings Limited ni kampuni inayotoa huduma za usafi wa viwango vya juu kwa watu binafsi, taasisi, makampuni, ofisi, shule, mabweni, hospitali, viwanda na maeneo mbalimbali ya biashara. Tunapokea kazi za: ✔️ Usafi wa ofisi, nyumba, shule, vyuo na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    Location Zanzibar, Pemba
  20. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Sekou Toure yatoa tangazo la nafasi za kazi ya Mhudumu wa Mochwari na Afisa Tehama Msaidizi

    Pia soma: ~ Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi ~ Uongozi wa SEKOU TOURE Hospital uchunguze, kuna Mtumishi analazimisha wanunue majeneza anayouza, wakikataa anagoma kuosha miili ~ RC Mtanda: Uchunguzi unafanyika tuhuma za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…