tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakujibwea45

    Medical council of tanganyika (MCT)

    Habari wana JF. Nilivyomalizaga certificate ya Clinical Medicine niliomba leseni ila sasa nimemaliza Diploma yake nikarudi kwenye mfumo katika akaunti yangu ile ile nimetafuta sehem ya kuadd qualification isome Clinical Officer (CO) ili niombe leseni badala ya ile ya mwanzo Clinical Assistant...
  2. S

    Chadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika

    Chadema mpo , Hakuna haja ya mapambano wala mapinduzi ,njia nzuri ni kuzungumza na WaTanganyika ili watu wagawane mbao,ila kabla hatujagawana ,tuipange mipaka tukubaliane ,bandari zitakuwa shared.
  3. S

    Bye Bye Tanganyika - WaZanzibari wainusuru Nchi Yao

    WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar. Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ? Baadhi ya...
  4. BARD AI

    Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi lilithibitisha Mkataba huo Muundo wa Muungano Muundo wa Muungano wa Tanzania kama ulivyoelezwa katika...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2025

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  6. Surya

    Tanganyika bado hatujapata uhuru, Je tulipataje hiki kinachoitwa uhuru.?

    Pengine hii ni siri ambayo baadhi ya watu hawatopenda kila mtu katika hii nchi aijue, : Kipindi ambacho watanganyika bado tunatawaliwa na mkoloni, Mwalimu akiwa na chama cha kudai uhuru, basi... Kiliitishwa kikao cha Watu wazito wa hii nchi, watu wenye elimu ya faraki kujadili je...
  7. Pascal Mayalla

    Siri za Muungano!. Muungano Ulikuwa Siri Kubwa!, Kumbe Uliridhiwa na Pande Zote ZnZ na Tanganyika!. Ile 26/04/64 Hakukufanyika Chochote Hadi 1965!.

    Wanabodi Nafuatilia matangazo mubashara ya TBC kuhusu maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wetu adhimu na adimu. Naibu Kipoa, bu Mkuu wa OMR Muungano na Mazingira, Hassan Mitawi, ametoa baadhi ya siri za Muungano, ambazo wengi wetu hatukuwahi kuzijua ndio nimezijua leo. Mitawi aliyaeleza hayo...
  8. Mshana Jr

    Hisroria ya mashindano ya ulimbwende Tanganyika..! Rip Hashim Lundenga

    Mwaka 1967 yalifanyika mashindano ya urembo kwa mara ya kwanza nchini, na dada Theresia Shayo akabeba taji. Mwalimu Nyerere akayapiga marufuku kwa madai kwamba yalikuwa yanaendeleza ukoloni mamboleo na yanatweza utu wa mwanamke. Miaka 27 baadaye, mwaka 1994, Mzee Ruksa akayaruhusu. Lundenga...
  9. and 998 others

    Biometric Voter system na wizi wa Kura? Imekaaje?

    Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
  10. Lycaon pictus

    Hadithi fupi: Hadithi ya Wakurya wa Tanganyika

    Na D. Kingdon. HADITHI YA WAKURYA WA TANGANYIKA WAKATI ule mvua ilikwishaanza; lakini majani yalikuwa yangali makavu, ingawa sehemu zingine zilikuwa na majani mabichi. Vivuli vya mawingu vilitanda juu ya miinuko ya nchi, na ukiangalia kwa mbali, utaona milima kama imefunikwa na moshi, kwa...
  11. Mshana Jr

    CHADEMA inamiliki na kutawala siasa za Tanganyika kwa asilimia 99

    Achana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano iliyofuatia na mwitikio wa wananchi wa kada zote Kukamatwa kwa mwenyekiti akiwa kwenye mkutano wa...
  12. R

    PreGE2025 Je, Hoja ya No Reforms no Election ikipuuzwa, inaweza kuibua upya madai ya Tanganyika?

    Hellow! Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu, Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni uchaguzi wa ngwe ya pili ilhali huu ni uchaguzi mpya, ilani ni mpya. Uchaguzi ni mpya, na mambo hayo...
  13. Valencia_UPV

    Nini kimetokea Swiss Air haitui tena Tanganyika?

    Imekuaje Swiss Air wamesitisha safari kimya kimya? Japo walikua wabaguzi lakini walipendezesha JNIA.
  14. C

    Tetemeko Thailand/Myanmar lingetokea Tanganyika sijui Hali ingekuaje

    1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje? Picha lingeanza kwa msafara wa Mawaziri na ma-V8 yao kujaa kwenye tukio, pameandaliwa jukwaa/tent,bendera za CCM, viti, meza, maua na...
  15. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhia kufungwa shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhia kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. Ziwa hilo linatarajiwa kufungwa kutokana na makubaliano ya nchi nne zinazotumia ziwa hilo huku baadhi ya wabunge wakionesha kutoridhika na hatua hiyo.
  16. kaisar19

    Yuko Wapi Mzimu Wa Ziwa Tanganyika

    Je! aliibiwa?: wakubwa shkamoni wadogo abari zenu mabinti mambo zenu. Nakusogezea kisa hiki cha kusisimua kuhusu Mzimu wa Ziwa Tanganyika. Moja ya sababu ya maji kujaa na kuharibu mali za watu ni ukumbusho kutoka kwa Mzimu huu kwasababu wahusika waliacha kuutambika mzimu wa Ziwa Tanganyika...
  17. Mohamed Said

    Magomeni na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/DrvRASg0n_M?si=-WYJZqPRWbtkwjmU
  18. N

    Nalishangaa Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT)

    Ni mwaka sasa, tangu Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT) lianze kusimamia mafunzo ya interns na hatimae kusajiri wataalamu wa lishe hospitalini (Clinical Nutritionist). Nalishangaa sana kwa kutofanya mambo yafuatayo. 1. Kuanza kwa kusajiri interns badala ya kuanza kwa kutambua na kuwasajiri...
  19. Mshana Jr

    Pongezi kwa wakulima wa kahawa Tanganyika

    TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji bora wa kahawa ya Robusta baada ya aina ya Chama cha Ushirika cha Kilimo cha Wilaya ya Ngara (AMCOS) kushinda tuzo ya Ladha ya Mavuno ya 2025 iliyotolewa na Chama cha Wazalishaji Kahawa Bora Afrika (AFCA). Wakiwakilishwa na Ubumwe Company Ltd, wakulima...
  20. Mshana Jr

    Tanganyika inateketea

    Hawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi? Mpaka uchaguzi upite kuna watu watakuwa matrilionea.. Anyway tumsikilize Dr. Bagonza PhD kwanza kabla ya karamu ya mapichapicha...😭
Back
Top Bottom