tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

    Malika Elizabeti wa Pili Elizabeth Regina Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979. Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza. Malika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mungu wakumbuke watanzania, likumbuke taifa lako teule Tanganyika

    Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe. Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania. Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee...
  3. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje? Mimi huwa sielewi chochote

    Hivi ndugu zangu hivi huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje huu mimi ua sielewi chochote kuhusu huu Muungano. Mimi naishi katika nchi ambayo ina Muungano wa nchi mbali mbali. Sitokwenda mbali nitachukuwa mfano wa Quebec na Canada. Quebec ilikuwa nchi ambayo walijiunga na Canada na...
  4. JamiiForums Tanzania Dome Okochi Budohi na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika

    Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
  5. JamiiForums Tanzania Askari wa Kizulu Katika Jeshi la Wajerumani Tanganyika 1890s - 1914

    ASKARI WAZULU KATIKA JESHI LA WAJERUMANI 1890s - 1914 Kwa miaka mingi bila mafanikio nimekuwa nikitafuta picha ambayo inaonyesha askari mamluki waliokwenda kuchukuliwa Mozambique na Hermann von Wissmann kuja German Ostafrika kama Tanganyika ilivyokuwa ikijulikana kuja kupigana na Bushiri Al...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani asisitiza Wizara ya Ardhi inafanya kazi kubwa ya kupima na kupanga ardhi kwa matumizi bora, hati 8 zakabidhiwa Tanganyika

    RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA. Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
  7. JamiiForums Tanzania A Page From: ''Under The Shadow of British Colonialism in Tanganyika'' by Ally Sykes and Mohamed Said

    Leo nimepokea picha kutoka Maktaba ya Picha ya Ally Sykes. Nimeona niiweke picha hiyo hapa pamoja na ukurasa mmoja kutoka mswada ambao mimi na marehemu mzee wangu tuliukamilisha wakati akiwa hai. A PAGE FROM: ''UNDER THE SHADOW OF BRITISH COLONIALISM'' ALLY SYKES AND MOHAMED SAID Kwame Nkrumah...
  8. JamiiForums Tanzania Yaliyopitika Mtaa wa Kipata Nyumba No. 69 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    YALIYOPITIKA KIPATA NYUMBA NO. 69 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Ndugu zangu WanaGerezani Siku ya Gerezani Day nilikuelezeni kwa muhtasari kuhusu makaratasi yaliyokuwa yakichapwa pale Mtaa wa Kipata No. 69 kwa siri na Ally Sykes na mama yetu Bi. Zainab. Baba yangu alikuwa anaishi...
  9. JamiiForums Tanzania Gerezani Day: Gerezani wawapa mitaa wazee wao waliopigania uhuru wa Tanganyika

    GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na wenzao waliotangulia mbele ya haki. Shughuli ilifanyika Shule ya Kisarawe na ilitanguliwa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Dondoo katika Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika

    WATOTO WA KAZI KAZINI: DONDOO KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Karibuni mtaona video fupi fupi zikieleza historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Fuatililia.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku Taifa la Tanganyika litafufuka? Je, itakuwaje? Je, Zanzibar itakuwepo ama?

    Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli Burundi ilitaka kuunganika na Tanganyika ilivyopata Uhuru na ingekuwa sehemu ya Tanganyika?

    Jana Julai mosi, wananchi wa Burundi waliadhimisha miaka 60 tangu nchi yao ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Ubelgiji Jumapili ya Julai mosi, 1962. Mwaka moja kabla ya siku ya uhuru kulikuwa na uchaguzi wa kwanza chini ya usimamizi wa Umoja Mataifa na chama kilichoshinda katika...
  13. JamiiForums Tanzania Athari ya majina ya mitaa katika historia ya Tanganyika

    ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar wanaweza Tanganyika mshindwe mna nini ?

    Nauliza tu, inakuwaje Upinzani Zanzibar wanaweza kuisakama Serikali tu maximum na tunaona mpaka Raisi Hussein inabidi aonekane kwenye vyombo vya habari kujielezea mwenendo wa serikali yake? Ukija kwenye Muungano WaZanzibari wanarapu kwa sauti kuu na hueleza kila kitu kwa weledi na mwenye kutaka...
  15. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1930s/sasa ofisi ya Bakwata Sheikh wa Wilaya

    OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1930s/SASA OFISI YA BAKWATA SHEIKH WA WILAYA NDANI YA OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA Picha hiyo ya kwanza ingawa imepigwa miaka ya 1930s imebeba historia kubwa sana katika historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika. Katika picha...
  16. JamiiForums Tanzania Jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika

    JENGO LA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) Historia ya Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) ni historia ya pekee sana. Jana nimepita mtaa wa Max Mbwana na Lumumba Avenue. Mitaa hii hapo zamani wakati Al Jamiatul Islamiyya fi...
  17. JamiiForums Tanzania Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

    Wadau, Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k. Hebu leo kwa faida ya wasomaji...
  18. JamiiForums Tanzania Makachero wa Special Branch ndani ya harakati za uhuru wa Tanganyika

    Katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze. Sikiliza video hii kuna historia muhimu sana kueleza kuundwa kwa TANU. Nilizungumza kuhusu kikao cha watu watatu nyumbani kwa Hamza Mwapachu, wengine wakiwa Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe agenda ikiwa namna ya kumuingiza Julius...
  19. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Kizungu kwenye ardhi ya Tanganyika

    Leo nilikuwa natazama Aljazeera wakaonyesha documentary ya historia ambapo wakimbizi wa kipoland waliokuwa wanakimbia utawala wa kisoviet baada ya kulazimishwa kuaachs maeneo yao na kufanya kazi kwa kulazimishwa kuhamishwa na kusambazwa katika nchi 6 afrika na serikali ya Mwingereza. Leo...
  20. JamiiForums Tanzania Safari ya Uhuru wa Tanganyika 1954 - 1961

    SAFARI YA UHURU WA TANGANYIKA Video hii imenivutia kwa kule kuieleza historia ya TANU na kutoka vyanzo vilivyoko nje ya historia rasmi na kutumia picha alizoacha Ali Msham na nyingine kutoka Nyaraka za Sykes. Halikadhalika kwa msomaji kutoa maelezo yake kama yalivyoandikwa ndani ya kitabu cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…