tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  2. M

    Je, kupeperusha bendera ya Tanganyika kunaweza kuonekana ni uchochezi?

    Kama kichwa kinavosema, kutumia bendera ya Tanganyika kama utambulisho wa upande mmoja wa Muungano, inaweza kuhesabiwa kama uchochezi? Na bendera za Tanganyika zilitupwa au kuchomwa?
  3. A

    KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  4. K

    Tanganyika itahitaji wanaharakati wao

    Wenzetu zanzabar wamefanikiwa kubadili katiba yao, wamefanikiwa kuondoa vifungu ambavyo vipo kwenye katiba ya muungano ambavyo hawavipendi lakini hakuna mtu au watu wanaopigania Tanganyika kwenye Muungano huu. Hadi mkuu wa majeshi Tanzania naye kawa chawa tu yaani Watanganyika ukiacha majembe...
  5. The Burning Spear

    Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

    Hello Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa. Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
  6. Pfizer

    Kukamilika kwa Meli nne za mizigo, fursa Ziwa Tanganyika

    KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
  7. figganigga

    Mafuta ya Ziwa Tanganyika yamtoa udenda Samia Suluhu.. Ayataka makampuni kuja kuwekeza haraka

    Tanzania imefungua vizuizi vya utafutaji wa mafuta ndani ya Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa makubwa zaidi ya maji safi duniani yaliyyo kati ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Zambia. Ziwa hilo linamiliki 17% ya maji safi duniani, lina zaidi ya spishi 1,500, na...
  8. M

    Kwa hiyo Zanzibar wananunua mchanga wa Tanzania Bara halafu mapato ya mauzo yanarudi upya Zanzibar kujenga miradi mipya ya Muungano?

    Serikali ya Zanzibar imepanga kuanza kunuuna mchanga kutoka Tanzania Bara kwajili ya miradi. Kwa hio mapato haya yanarudi upya Zanzibar kujenga barabara, shule, hospitali, madaraja, n.k. kwajili ya maendeleo ya muungano? Taarifa ndefu ipo hapa >>> Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka...
  9. Saa 7 mchana

    Sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuhifadhi?

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa. Hivi sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuituza mwenye? Natanguliza shukrani
  10. Mshana Jr

    Utekaji Tanganyika! Kumepoa kidogo au!?

    Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion! Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani.. Kuna walionusurika kutekwa Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai...
  11. TODAYS

    Angalia Tanganyika tunavyopigwa na Nchi ya Zanzibar

    Wote mnaoguswa na vita vinavyoua raia wasiyo na hatua kisa viongozi wakuu wa kimamlaka, naandika hivi poleni sana Ubalozi wa Iran hapa kuna kitabu cha maombolezo mje. MADA: Mliofika kule nchini Zanzibari mtakuwa si watu wa kushangaa kwa hili ninaloandika. Rais, Daktari Hussein Ali Mwinyi...
  12. O

    Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  13. A

    KERO Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) liwajibike katika kuboresha masuala ya Kimtandao, wanatukwamisha

    Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kuwa siku moja baada ya lile chapisho lililoletwa na member kuhusu Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuharakisha kutoa matokeo ya Mtihani wa Leseni (Post Internship Examination) ya Madaktari uliofanyika Desemba 17, 2025, tuliona jambo...
  14. N

    Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  15. Nigrastratatract nerve

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  16. Yoda

    Ilikuwa kosa kubwa Mwl. Nyerere kuzingatia siasa za kikanda Tanganyika bila kuzifungamanisha na uchumi na bado nchi ikiwa changa

    Katika mambo ambayo yameigharimu sana Tanganyika na kuidumaza huenda hata sio siasa ya ujamaa zaidi bali siasa za kikanda(geopolitics) za Nyerere ambazo hazikuzingatia maslahi ya uchumi wa Tanganyika wakati huo na ya muda mrefu. Ukitafakari kwa kina katika fikra huru ni jinsi gani...
  17. Mohamed Said

    Jiwe la Kumbukumbu la Nyumba Aliyolala Mwalimu Nyerere Ujiji 1954 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/zZS4uioW6_g
  18. Mnyenz

    Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  19. O

    Watangayika kwa sasa wanahitaji Jamhuri ya Tanganyika kuliko kitu chochote katika safari ya mageuzi na ukombozi wa Taifa hili

    Vyovyote itakavyokuwa kuhusiana na Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni lazima Jamhuri ya Tanganyika iwe na serikali yake inayojitegemea na kamili. Kwa siku za karibuni, Mkuu wa Dola amejidhihirisha kuwa adui namba moja na tishio kwa usalama na uhai wa Jamhuri ya Tanganyika kuliko...
  20. I

    Tanganyika Special Threads

    GT. Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu. Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa...
Back
Top Bottom