tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    TMA twambie kwanini mpaka sasa Tanga hakuna mvua ya maana ya masika

    Tunaingia mwezi wa nne sasa. There is nothing at all! Hakuna.mbua kabisa, ni manyunyu manyunyu tu. Tatizo ni; nini? kwa utabiri wenu?
  2. PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga aonya wanaotaka kuvuruga amani mkoani humo, asema wainge kwa adabu zao

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza kuleta uvunjifu wa amani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  3. Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  4. Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
  5. W

    Tanga: Chama cha walimu walilia posho za walimu wastaafu

    Chama cha Walimu wilayani Pangani mkoani Tanga kimeiomba serikali kulipa malimbikizo ya madeni ya walimu ikiwemo posho za kujikimu, mishahara sambamba na malimbikizo ya madai ya walimu wastaafu.
  6. Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga sio ndoto bali fursa halisi ya kifedha na kiuchumi. Kwa kuwepo kwa bomba la mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga, unaweza kufanikiwa kwa urahisi zaidi. Bomba hili litakalobeba mafuta ghafi (crude oil) kutoka Uganda litakufungulia fursa ya...
  7. Tanzania ivutie wawekezaji wa Oil Refinery zisizopungua tano huko Tanga bomba la mafuta kutoka Uganda linapoishia

    Ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea la kutoka uganda mpaka Tanga, fursa kama hii muhim ni vizuri serikali ikavutia waekezaji kama watano waje wajenge oil refinery tano eneo ambalo bomba la mafuta kutoka uganda linapoishia Faida ya oil refinery Bitumen inayotumika kutengeneza lami itazalishwa...
  8. Picha: Bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania

    Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
  9. PreGE2025 Tanga: Wananchi Bungu, Korogwe wamuombea Dua Rais Samia

    Wananchi wa Bungu wilayani Korogwe mkoani Tanga wamefanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 4 ya uongozi wake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  10. Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

    Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii. Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF. Sioni tena kama...
  11. House4Sale Nyumba inauzwa Pongwe Tanga

    Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe ★Rooms 3 Kimoja master ★Sebule ★Dinning ★Jiko ★Public toilet ★Sqm 360 Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
  12. Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

    Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
  13. Benki ya Exim Yaandaa Futari Tanga na Zanzibar Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii

    Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim, Nelson Kishanda wakifuturu pamoja wakati wa hafla ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan kama sehemu ya kuoneshaa...
  14. PreGE2025 Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga

    Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imetembelea kukagua miradi mitatu ya uboreshwaji wa uwanja wa ndege, reli pamoja na bandari ambapo pia watatembele ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani, katika Mkoa wa Tanga. Akiongea kabla...
  15. Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  16. Tanga: Zaidi ya wananchi 2000 wa Bondo waliochomewa nyumba zao, waishi chini ya miti

    Ikiwa siku chache zimepita tangu tulivyoripoti taarifa kuhusu wananchi wa Bondo, Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga kulia kukosa makazi baada ya nyumba zao kuchomwa moto na kubomolewa kwa kuambiwa wamevamia hifadhi. Inakadiriwa kuwa zaidi ya kaya 2,600 zimeachwa bila makazi, mali zao kuharibiwa, na...
  17. PreGE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga lathibitisha kukamatwa kwa kada wa CCM Swahibu Juma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani humo Swahibu Juma Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa. Katika taarifa iliyotolewa na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi leo Jumatano Machi 12,2025 imeeleza...
  18. Anna Tibaijuka: Kuchukua umeme kutoka vyanzo mbalimbali nafuu, ni kwa usalama wa Taifa letu

    Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)? Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya...
  19. PreGE2025 Ummy Mwalimu: Bilioni kutumika kukamilsha ujenzi barabara Tanga - Pangani

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani. Mheshimiwa Ummy aliyasema hayo wakati wa mahojiano...
  20. B

    Kesi ya bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga, yatua mahakama ya Afrika ya mashariki EACJ

    Kigali, Rwanda RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…