tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

    Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom? Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Tanga ya leo ni shughuli gani za kibiashara zilikuwa zinaendelea mkoani humo?

    Tunapozungumzia Tanga mara nyingi tunafikiria mji wa bandari tunaoujua leo. Lakini kabla ya Tanga ya kisasa, kulikuwa na vituo vya kale vya kibiashara ambapo katika pwani hii. Moja ya hivyo ni Tongoni. Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili ya karne ya 15 ya msikiti na makaburi arobaini...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Pongwe kwenda Chote hadi Mjesani hii barabara kwa miaka mingi sana imekuwa ni mbovu sana

    Habari za jioni? Kuna barabara ya Pongwe kwenda Chote hadi Mjesani hii barabara kwa miaka mingi sana imekuwa ni mbovu sana japokuwa kuna wananchi wengi sana wanaoishi kwenye barabara hiyo ambayo ipo kwa kiwango cha CHANGARAWE. Barabara hiyo inakwenda kwenye machimbo ya mawe ya kujengea nyumba...
  5. JamiiForums Tanzania TANGA VS LAMU: VITA YA REFINERY NI VITA YA CORRIDOR YA AFRIKA MASHARIKI

    Na: Dr. Zack, Mtaalam wa Masuala ya Uchumi Duniani 01.10.2026 Kuzinduliwa kwa mradi wa Dangote wa US$16 bilioni huko Lamu, Kenya, jana si habari ndogo kwa Afrika Mashariki. Refinery hiyo imepangwa kuwa na uwezo wa kuchakata mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku, ikiambatana na mtambo wa umeme wa MW...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je mkataba wa kujenga kiwanda cha usafishaji Tanga ni kweli au utapeli

    Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
  7. K

    JamiiForums Tanzania MUSEVI anasema hajui mradi wa Tanga kinachoendelea!!! Tanzania ni janga

    Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda 🇷🇼 Yaanza Kuagiza Mafuta Mombasa 🇰🇪 - Je, Tanzania 🇹🇿 Imepigwa Chini?

    Rwanda imeanza kutumia Mombasa kama njia mpya ya kuingiza mafuta baada ya metri tani 40,000 za petrol na diseli kuwasili katika Bandari ya Mombasa, ikiwa hii ndiyo shehena ya kwanza chini ya makubaliano ya Kenya na Rwanda yaliyotiwa saini Juni 29, 2026. Meli MT Sea Wolf ilitia nanga Kipevu Oil...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Tanga kwenda Pemba changamoto sana

    Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Basi la RUKSA la Mwanza - Tanga limesababisha mzigo wangu wa Dagaa kuharibika

    Nilituma mzigo wa dagaa kutoka Mwanza kwenda Tanga kupitia kampuni ya basi la RUKSA. Mzigo huo ulipakiwa kwenye basi, lakini baada ya siku tatu ndipo ulipofika Tanga ukiwa umeharibika na kuoza. Hii ni changamoto kubwa kutokana na ucheleweshaji usio na sababu za msingi, kwani dagaa ni bidhaa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mradi wa hati fungani Tanga kazi iwe saa 24

    Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Maji wa Hati Fungani Tanga ametakiwa kuhakikisha anafanya kazi kwa saa 24 ili mradi ukamilike. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametoa maelekezo hayo akikagua mradi wa Hati Fungani Tanga unaoendelea katika eneo la Moe. "Hatuna muda wa kupoteza, mkandarasi...
  12. JamiiForums Tanzania Mafuta Uganda Yaja Tanga: Bomba 92% bado 8% tu

    TANZANIA LEO LASEMA... MAFANIKIO MENGINE YA SAMIA DESEMBA 🔹Tone la kwanza la mafuta ghafi ya Uganda litakuja Tanga 🔹TPDC yasema Mradi wa Bomba umefikia 92% kumalizika 🔹Baada ya hapo, ni ujenzi wa kitovu cha nishati A. Mashariki
  13. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aibadili Tanga kiuwekezaji.

    ■Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani ■Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
  15. JamiiForums Tanzania Tanga : Kiwanda cha kuchakata mchanga mzito wa bahari au heavy minerals sand kinajengwa Pangani

    Uwekezaji mkubwa wa kampuni ya China kwenye sekta ya madini Tanzania 👇 Kampuni ya Shenghe Resources kutoka China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini ya mchanga mzito wa baharini - Heavy Mineral Sands Mahali: Eneo la Tajiri, Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga. Kampuni hii...
  16. JamiiForums Tanzania Ded-Kilindi Tanga amnyanyasa mwalimu mpaka aache kazi?Mh.Waziri mkuu ingilia kati suala hili.

    Habari za jioni wana jamiiforum. Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa. Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
  17. JamiiForums Tanzania Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  18. R

    JamiiForums Tanzania TANROADS watu wanajenga kwenye road reserve are mnawaangalia. Wekà beacon za mwisho wa roas reserve from Tanga to Pangani kama za Magufuli.

    This is the second call. Kesho mtawabomolea watu maana hawa ui mwisho wa road reserve ni upi. Nilishaandikia humu as a wake up call kuepusha migogoro ya kesho. Watu wanajenga petrol station kwenye road reserves!
  19. JamiiForums Tanzania Tanga; Kijiji kinaitwa mafisa aridhi ni bei chee 50k kwa heka Moja

    Vijana msijifungie sehemu Moja Ni Aridhi sio pori ==> 50k per heka Moja Ina support kilimo... mahindi , maharage...nk na ufugaji.
  20. JamiiForums Tanzania Tanga Mjini hali si salama, kikundi cha uhalifu kinachojiita VISHANDU, wanahatarisha Usalama wa watu

    Hello Jamii, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, lakini mara kwa mara huwa naenda Tanga kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Kwa kweli, nimeshtushwa na hali ya usalama ninayoiona kwa sasa katika maeneo mbalimbali ya Tanga Mjini. Kuna taarifa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa vikundi vya uhalifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…