Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.
Mwezi umeisha na mengi. Usije Tanga kama huna pa kulala. Malaya bei juu pia. Kondomu nazo adimu. Mwendo wa acapella. Abood za kutosha (mtu unaweza kuwahi alfajiri ukachuja saa 6 usiku unageuza na abood 2 Dar
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
Kuna laana kubwa Tanga. Nchi nzima inanyesha mvua isipokuwa Tanga, hasa mjini na viunga vyake ....all surrounding villages within Tanga City planned areas! Tangu last year June untill now!
Soma pia TMA toeni sababu kwanini mvua Tanga hakuna tangu mwezi wa 7, 2025
Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote?
Kama ni kweli serikali itafute namna ya kufufua hili jiji liendelee kukua. Wajenge hata vyuo vikuu, viwanda au namna yoyote tu jiji liwe...
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.
Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
Anonymous
Thread
mmoja
msingi
mtaani
mwalimu
shule
shule ya msingi
tanga
wengine
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, Kwa mujibu wa Kanuni ya 37(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza akisimamiwa na RAS kuwapumzisha kutekeleza majukumu yao watumishi 14 wa Halmashauri hiyo...
Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo.
“Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaahidi wananchi wa Mkinga kuwa katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 kupitia TARURA itatengwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 16 kwa kiwango cha changarawe, ambazo zitaunganisha Chuo cha...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni ili kuokoa maisha ya wananchi wa Handeni, kitendo...
Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku.
Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026.
Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
Watu wameanza kujenga tena kwenye road reserve 30 meters from the center of the road on each side.
Wanauziana wakiambiwa kuwa zilipo nguzo za umeme ndiyo mwisho wa road reserve. Kuna wanaosema kuwa 7.5 meters kutoka kwenye nguzo za umeme kwenda nje ndiyo mwisho wa 30 meters! Ilimaanisha kuwa...
Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa
NB: unaweza kutaja sababu
1. Tanganyika
2. Tanzania
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko.
Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni.
Ina mana ukitaka kwenda Tanga inabidi uende hadi stendi ndio upate tiketi? Sasa huo si uzamani sana wakuu
Nataka nikate tiketi kwa...
Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi.
Mbona sio kitu cha siri?
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
Serikali mkoani Tanga imesema imeshaanza mchakato wa kufanyiakazi ahadi za Rais Samia Suluhu Hassani alizotoa wakati wa kampeni zake mkoani humo,ikiwemo ya kusaidia vijana ajira,na kujiendeleza kiuchumi na biashara
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema hayo wakati akiongea...
Nipo Tanga kwenye shughuli flani.
Kwanza huu mkoa wao kila siku ni burudani tu,hawana stress za maisha kabisa.
Kilichonivunja nguvu kabisa ni hiki,huku Tanga mziki wao mkubwa ni taarabu.
Sasa nimeshangaa nimeenda sehemu flani nikakuta kuna shughuli na mziki unaopigwa ni taarabu,nimeshuhudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.