Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli.
Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi?
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Je...
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.
Pia katika Uwizi...
Wakuu,
Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.
Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wananchi wamefukunyua na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya wasiaminike kabisa kwa lolote wanalowaeleza wananchi, kwa mfano kunapokuwa na taarifa za mauaji ya polisi...
Serikali kupitia wizara ya nishati miaka 5 iliyopita ilijenga ofisi za Tanesco kupitia mfuko maalum
Kwa kigezo kwamba kuna upotevu mwingi wa fedha katika kupangisha ofisi ya Tanesco kutoka kwenye nyumba za watu binafsi.
Wakaamua kujenga ofisi kuu katika kila wilaya ili kuepusha upotevu wa...
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa...
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.
Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako.
Watumiaji watakua na...
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho.
Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
Mnatutia hasara sana.
Kipindi cha JPM mlikuwa mnatoa taarifa siku moja kabla ya kukata umeme ,pia mlikuwa mnakwepa kukata umeme kwa kumuhofia JPM.
Sasahivi kukata umeme siku nzima ni kawaida tena bila kutoa taarifa.
Mnaboa sana nyie watu. I wish Mama afanye mabadiliko TANESCO kuondoa...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile.
Nikajaribu kununua umeme shida ikawa the same kwenye benki tatu tofauti, nikajaribu kununua kwa simu pia...
Huu uzi nauandika kwa masikitiko makubwa sana! Tanzania Umeme Umekuwa ukikatika tangu miaka 60 iliyopita, hadi leo umeme bado unaendelea kukatika na natumai miaka 50 ijayo ukija Tanzania utakuta hali ni hii hii!. Leo sababu ni hii miaka 100 ijayo kutakuwa na sababu nyingine mbalimbali, ni kama...
Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127
Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na...
Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?.
Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa kukamilika, inatarajiwa kuzalisha umeme kiwango cha Megawati 2115 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwezi Mei...
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu kwa wananchi wa Sirorisimba juu ya vigezo vilivyotumika mpaka kufikia kutoa huduma kwa shilingi...
Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...