tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Msaada: Ulaji mkubwa wa umeme kwa matumizi yale yale kwenye mita ya 3-Phase

    Wadau naombeni msaada kwa hili jambo,, Yaani siku hizi tangia wiki jana , ulaji wa umeme kwenye mita za 3phase umekuwa mkubwa mno. Yaani, ukiweka umeme ambao kwa kazi ileile ulikuwa unatumia labda siku 4, siku hizi unatumia siku moja kwa kazi hiyohiyo unaisha. Nimeleta mafundi wa umeme...
  2. Tanesco na tenda kwa kampuni binafsi; TTCL na kampuni binafsi za simu kuanzishwa TCRA

    TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA. Leo 12:15pm 03/05/2022 Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji...
  3. M

    Kutokukamilika kwa Mradi wa Umeme Rufiji mwaka 2022 kama ilivyotakiwa na sasa Kukamilika 2024 ni Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Dkt. Magufuli

    Nimeziona sababu alizozitoa MD wa Tanesco Maharage Chande sijaona hata moja inayoingia Akilini. Sehemu iliyonishangaza zaidi ni kuona MD wa Tanesco Maharage Chande akitutaka Watanzania tuache Kulaumu / Kulalamika huku akituasa tutoe Ushirikiano. Hivi Wewe MD wa Tanesco Maharage Chande yaani...
  4. TANESCO wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE'

    Mnyonge mnyongeni LAKINI haki yake mpeni, pamoja na shida ya kukatika katika kwa umeme lakini wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE' Kwa kutumia nikonect app utapata Huduma UNAYOTAKA. Mara nyingi nimetumi app hiyo kutoa taarifa changamoto mbalimbali hufika mapema. HONGERENI TEAM...
  5. Wateja tuliolipia 27,000 Tanesco mpaka leo tunazungushwa

    Kwanza Mhe.Rais Pole na.majukumu, kwa masikitiko makubwa naomba niwasilishe kilio changu kwa niaba ya Wahanga wenzangu tuliokutwa na janga hili.. Asilimia kubwa ya wateja tulio lipia kuunganishiwa umeme kwa ile bei ya awali 27 K wengi hatujapata huduma hii ya umeme, tukifuatlia ktk ofisi za...
  6. Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Wakuu Kuna tetesi nilisikia kuwa Tanesco hawataki kuwaunganishia umeme wateja wale waliolipia elfu ishirini na Saba (27000) , eti kisa haikuwa Bei yenye uhalisia. Wakati nakumbuka hata Rais wakati yupo maeneo ya pale tegeta akiwa kwenye msafara wa kuelekea kaskazini, alisamama nakueleza kuwa...
  7. Dar: Omary, Juma, Amos, Mokolo wakamatwa kwa wizi wa nyaya za TANESCO

    Jeshi la Polisi limewakamata watu wanne (4) kwa tuhuma za kujaribu kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanesco ikiwemo Nyaya aina ya Copper kwa lengo la kuziuza. Watuhumiwa hao; ni OMARY ALLY, miaka 28, Mkazi wa Tegeta na mwenzake JUMA SULLEIMAN, Miaka 30, Mrangi, mkazi wa Wazo na wanunuzi...
  8. Tatizo ni nini TANESCO? Umeme unashindwa hata kuwasha redio kwa baadhi ya maeneo

    Hili jambo la umeme wa TANESCO kuwa mdogo na kukatakata likuwa likijirudia kila mara kwa nyakati tofauti na hili jambo limekuwa kama mazoea. Majuzi Jumatano ilifika kipindi nikafikiri radio imeungua kabisa hii ni kutokana kwa umeme kuja gafla na kukata na baadae nilishangazwa umeme na uona...
  9. Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  10. Nawaza tu kuhusu TANESCO kwa huu utendaji wao

    Miaka ya nyuma kuwekewa tu simu ya mezani ilikuwa ni issue kubwa unaweza ukazungushwa sana. Mara paaap zikaja simu za mikononi TTCL yale maringo hayapo tena. Shirika la Posta sina ushahidi nalo kuhusu tuhuma za usumbufu mara paaap simu za mkononi kutumiana message sio lazima kuandika barua, siku...
  11. TANESCO mbona mmekata umeme tangu usiku huku Bunju?

    TANESCO kuna shida gani mvua kidogo tu mmekata umeme tangu usku mpaka sasa huku bunju. Mnatutia hasara mjini umeme ni muhimu tunapishana na pesa. Yani mvua ikinyesha nyie mnapata excuse ya kukata.
  12. M

    TANESCO imekithiri kwa vitendo visivyo vya kiutumishi

    Wana jamvi nashindwa kuelewa kama sehemu zingine za nchi hii zinapata shida ya kuunganishiwa umeme kama Nzega haswa Nzega Mjini. Kumekua na changamoto kubwa ya kupatiwa huduma ya maunganisho ya umeme hata baada ya kufanya malipo. Mfano mteja anafanya malipo na ndani ya miezi miwili, mitatu...
  13. TANESCO lini mmeanza kutumia magari yenye namba binafsi?

    Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngazi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida. Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa...
  14. Mkataba wa Wizara ya Nishati na Mawasiliano kusambaza Mkongo wa Taifa kwa nguzo za TANESCO umeishia wapi?

    Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege. Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
  15. TANESCO Mbeya: Je kuna Electric Surge au Line ya Meta Referral Hospital imezidiwa?

    Tanesco mtusaidie majibu
  16. Tanesco Tabata Mnashirikiana na Wezi. Hili tumelifahamu msibishe!

    Tabata hasa huku maeneo ya Chuoni St. Marys, Camp, Bima n.k Mmekuwa mnakata umeme usiku ili wezi watuibie kila mara. Leo mlikata tena wezi wakaruka ukuta ndani kumbe mimi sijalala. Hiii kesi wengi wanasema ni Ushirikiano mwema wa TANESCO na Wezi. Mnakata bila sababu za msingi kila siku usiku na...
  17. Kero ya Kukatika Umeme Mara kwa Mara: Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko zile siku 10 za mgao

    Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko kawaida, wanakata asubuhi saa 12 wanarudisha jioni saa 12 na nusu. Masaa zaidi ya 12. Niseme wazi siku zile 10 za mgao zilizotolewa sikuwa na kazi nyingi sana hivyo wala sikuona kama ni issue sana na wala sikuathirika. Balaa lipo wiki hii nina kazi...
  18. Tanesco Halmashauri ya Mji Kibaha mnakera sana!

    Wadau kwema, Hawa wahusika. Tajwa hapo juu hakika wamekuwa SUGU, hawa mabwana kila ukiwatembelea pale ofisi kwao kuwauliza kulikon mbona hatufungiwi umeme? Wanasema kwa sasa wanafungia wateja walio omba umeme mwezi wa 8. Yaan since Januari hawa jamaa wanawafungia umeme wateja wa mwezi wa 8...
  19. Hongereni Tanesco kutuletea Smart Meters, lakini mtatuunganishia bure ili kubadili zilizopo au tutalipia?

    Hii habari ni faraja kubwa kwa watumiaji wa umeme maana sasa habari za kulala giza kidogo au kwa sana zitapungua maana hata ukiwa Songea safarini utaweza kununua umeme na kuwasha nyumba iliyopo Mwanza. Maana hakutakuwa na haja za kuingiza tokeni ili kuwasha umeme. Lakini je, hizi mita...
  20. TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka. Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…