Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 442
- 1,082
Drake ameendelea kuwa na mwaka bora baada ya kufikisha streams bilioni 15 kwa mwaka 2026 pekee kupitia mtandao wa Spotify kupitia nyimbo zake zote kwa mujibu wa ripoti ya @records.
Jambo ambalo linalomweka katika nafasi ya kuweka rekodi ya mwaka wenye mafanikio makubwa zaidi ya usikilizaji wa muziki wa Hip-Hop kuwahi kutokea.
Kulingana na ripoti hiyo Drake amesikilizwa mara milioni 58.6 kwa siku, mara milioni 2.44 kwa saa na mara 40,000 kwa kila dakika 1 mpaka kufikia jana Septemba 13.
Tukirudi mwezi wa 8 (Agosti) alifikisha jumla ya streams bilioni 140 kwenye Spotify (kupitia nyimbo zake zote) na kuwa msanii wa kwanza kufikia hatua hiyo.