tamisemi

  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri TAMISEMI: Tunapanga kuboresha posho za wenyeviti wa vijiji

    “Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi, hisabati 17,354

    SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312. Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya TAMISEMI 2025/26 yaongezeka kwa asilimia 16.38, yatengwa trilioni 11.783 kuboresha huduma na miundombinu

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25 imeongezeka kwa takribani asilimia 16.38 ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Bajeti hii inalenga...
  6. brobiz

    JamiiForums Tanzania OMBI KWA TAMISEMI

    Habari za asubuhi ndugu watanzania moja kwa moja niende kwenye mada najua humu wapo wadau wengi na ni matumaini yangu ujumbe huu utawafikia wahusika, hii ni mahususi kwa ajira mpya za mwaka huu, naona serikali inapata ugumu sana kulipa pesa za kujikimu sijajua shida ni nini lakini naamini ni...
  7. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI toeni vibali vya uhamisho

    Tangu watu waombe uhamisho wa kuhamia nje ya mikoa ki mfumo hadi leo kimya TAMISEMI shida ni nini au mko bize na maandalizi ya maeneo jimbo? OR TAMISEMI
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Dkt. Charles Kimei azomewa Vunjo, Waziri Mchengerwa amtetea

    Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa na wananchi wake, hali iliyopelekea waziri Mchengerwa kuingilia kati na kuwasihi wananchi waache...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Akizungumza leo...
  10. Governor of Bettors-GB

    JamiiForums Tanzania WIZARA ya elimu ingetoa Muongozo unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba

    Kama Mzazi WIZARA ingetoa MUONGOZO unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba A) WATOTO kutakiwa kwenda Shule siku za Sikukuu za kitaifa Sikukuu zoote watoto baadhi ya Shule wanatakiwa kwenda Shuleni Na hata kesho,watoto hao badhi...
  11. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Gambo una hoja, ila hujiamini-Chini ya Mchengerwa, TAMISEMI imekuwa Wizara ya ovyo

    Nimefuatilia mjadala wako Gambo, unayo hoja na ukweli… changamoto kubwa ninayoiona ni CONFIDENCE and DUE DILIGENCE! Hata Usimamaji wako….ni kama kuku wa Broiller anaeogopa mwanga wa jua. Hatua uliyofikia hupambani tena na Makonda, bali unapambana na Mchengerwa pamoja na Boss wake...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge waitaka Wizara ya fedha iipe fedha Wizara ya TAMISEMI itekeleze majukumu yake

    WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa. Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Dodoma waipa Tano bajeti ya TAMISEMI

    Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye kiasi cha shilingi bilioni 11.7. Akizunguzmia bajaeti hiyo mkazi wa...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mukhutasari wa Ripoti ya CAG Upande Wa TAMISEMI Kwa Mwaka 2023/2024

    UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
  15. C

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rudisheni utaratibu wa mwanzo kuwapigia walimu vituo vya kazi ninyi wenyewe huko kwa sasa walimu wote wana vimemo,wanaishia mjini

    Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu wote wanaishia shule za mijini zilizo rundamana walimu na wanaenda kiripoti na vimemo , huku...
  16. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanataka kuwauwa vijana kwa umasikini kupitia ajira zao za mchongo

    # Wanatangaza Ajira 14 elfu. # Wanafanyisha interview. # Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza. Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, Tunakuomba Utembee Miradi ya Maendeleo ya Moshi Manispaa Kuna harufu ya ufisadi mkubwa

    Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa. Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Njaa na madeni kwa vibarua Tanesco Shinyanga mjini

    Wakuu mamlaka husika fikeni TANESCO SHINYANGA MJINI vibarua wanapitia changamoto sana hakuna mfumo rasmi wa malipo ni miezi miwili hawajalipwa na hawajui watalipwa lini inglieni kati kuboresha maslahi yao njaa na madeni zinawaumiza ukizingatia ni kazi ngumu wakipitishwa tandale kwenye makande...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa atoa miezi miwili kwa mkandarasi kukamilisha jengo la TAMISEMI

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
Back
Top Bottom