tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Makato ya Bank ya CRDB yanakatisha tamaa

    Habari wakuu, Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe" Wakuu hii tabia ya CRDB, kukata makato ambayo wateja wake hawaelewi jinsi yanavyo enda. Ni kuwakosea wateja kwa kweli. Hivi...
  2. K

    CRDB mmezidi na mnakatisha tamaa

    Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja. Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata...
  3. Tamaa mbaya sana

    Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
  4. Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  5. Msomi usikate tamaa – badilika, usibadilishwe

    Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya sasa haiangalii tu cheti, bali uwezo wako wa kutatua matatizo na kuleta thamani. Elimu uliyonayo ni...
  6. Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

    Naandika Kwa masikitiko sana. Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi. Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo...
  7. Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  8. Nimesikitika lakini sijakata tamaa na Putin, Trump aiambia BBC

    Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC. Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini kiongozi huyo wa Urusi, na akajibu: "Sina imani na mtu yeyote." Trump alikuwa akizungumza saa chache...
  9. Nishakata tamaa na kuoa

    Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
  10. Idadi ya Wapiga Kura inavyoshuka licha ya kuongezeka kwa waliojiandikisha – Taifa lenye hofu, hasira na kukata tamaa

    Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu: 1.Idadi ya watu (population) 2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 3.Idadi ya waliopiga kura...
  11. Wafanyakazi wengi wana pepo la tamaa, ndio maana tunakuambia usioe mfanyakazi

    Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja. Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake. Pesa kadri unavyoishika kiu yake inakuwa nyingi zaidi. Mke wangu mama wa nyumbani nikimpa pesa kidogo tu moyo...
  12. PreGE2025 Wabunge wote wa Covid 19 wamekata tamaa ya kuweza kurejea tena bungeni. Wana sonona (Depression)?

    Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19. Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
  13. Tamaa chimbuko na anguko letu

    Katika maisha ya kila siku Kuna mapambano yanayoonekana, na kuna yale yasiyoonekana. Mapambano ya nje huweza kuangaliwa na watu, lakini yale ya ndani – vita kati ya roho na tamaa – ndiyo vita halisi ya maisha ya mwanadamu. Ukishinda huko ndani, umeshinda kila kitu. Tamaa ni kivuli...
  14. Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  15. W

    Ni kwa nini Waafrika wamejizolea umaarufu kwenye sifa mbaya kama wivu, fitna, kusalitiana, tamaa, rushwa, uvivu, uchawi, uzinzi na umaskini ?

    (i) wivu/husda/fitna (ii) kusalitiana/kuuzana (iii) tamaa/rushwa (iv) uvivu (v) uchawi (vi) umaskini vii) uzinzi viii) kukwepa uwajibikaji kwa kupenda kuhamisha lawama
  16. PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  17. W

    Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

    Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa. Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki...
  18. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  19. Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    Hamjambo Wote! Baadhi ya watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao wakiwasifu vijana Wakenya kwa kile wanachokiita Kujielewa na Kujitambua. Huku wakiwatupia lawama vijana wa kitanzania kuwa ni vijana Maamuma, waoga, wasiojielewa, wapowapo tuu. Lakini Tathmini yangu ipo Kinyume kabisa na maoni yao...
  20. Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…