tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tamaa ya Ngono, Adui Mkubwa wa Mwanadamu

    KAMA MWANAUME Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO. Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo Ndani ya ngono kuna BARAKA LAANA UZIMA MAUTI KUPATA KUKOSA Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Jifunze hapa jinsi ya kushinda tamaa hiyo

    Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya moyo wa mtu. Katika Mathayo 5:28 anasema hivi: "Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa...
  3. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Makato ya Bank ya CRDB yanakatisha tamaa

    Habari wakuu, Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe" Wakuu hii tabia ya CRDB, kukata makato ambayo wateja wake hawaelewi jinsi yanavyo enda. Ni kuwakosea wateja kwa kweli. Hivi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CRDB mmezidi na mnakatisha tamaa

    Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja. Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata...
  5. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Tamaa mbaya sana

    Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
  6. Noel france

    JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  7. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Msomi usikate tamaa – badilika, usibadilishwe

    Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya sasa haiangalii tu cheti, bali uwezo wako wa kutatua matatizo na kuleta thamani. Elimu uliyonayo ni...
  8. Lighton

    JamiiForums Tanzania Polisi wengi wa Tanzania wana tamaa mbaya ya pesa

    Naandika Kwa masikitiko sana. Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi. Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa, pale ambapo wanaona Kuna vitendo vya rushwa vinafanywa na polisi lakini pamoja na jitihada zote ambazo...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika lakini sijakata tamaa na Putin, Trump aiambia BBC

    Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC. Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini kiongozi huyo wa Urusi, na akajibu: "Sina imani na mtu yeyote." Trump alikuwa akizungumza saa chache...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nishakata tamaa na kuoa

    Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
  12. 888I

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wapiga Kura inavyoshuka licha ya kuongezeka kwa waliojiandikisha – Taifa lenye hofu, hasira na kukata tamaa

    Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu: 1.Idadi ya watu (population) 2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 3.Idadi ya waliopiga kura...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wengi wana pepo la tamaa, ndio maana tunakuambia usioe mfanyakazi

    Pamoja na sababu nyingi kwanini ninawakataza msioe wanawake wafanyakazi (wenye mshahara) leo nitawapa hii sababu moja. Kuna pepo wanamsonga mtu kulingana na mazingira au shughuli zake. Pesa kadri unavyoishika kiu yake inakuwa nyingi zaidi. Mke wangu mama wa nyumbani nikimpa pesa kidogo tu moyo...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wote wa Covid 19 wamekata tamaa ya kuweza kurejea tena bungeni. Wana sonona (Depression)?

    Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19. Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
  15. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Tamaa chimbuko na anguko letu

    Katika maisha ya kila siku Kuna mapambano yanayoonekana, na kuna yale yasiyoonekana. Mapambano ya nje huweza kuangaliwa na watu, lakini yale ya ndani – vita kati ya roho na tamaa – ndiyo vita halisi ya maisha ya mwanadamu. Ukishinda huko ndani, umeshinda kila kitu. Tamaa ni kivuli...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Waafrika wamejizolea umaarufu kwenye sifa mbaya kama wivu, fitna, kusalitiana, tamaa, rushwa, uvivu, uchawi, uzinzi na umaskini ?

    (i) wivu/husda/fitna (ii) kusalitiana/kuuzana (iii) tamaa/rushwa (iv) uvivu (v) uchawi (vi) umaskini vii) uzinzi viii) kukwepa uwajibikaji kwa kupenda kuhamisha lawama
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

    Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa. Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    Hamjambo Wote! Baadhi ya watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao wakiwasifu vijana Wakenya kwa kile wanachokiita Kujielewa na Kujitambua. Huku wakiwatupia lawama vijana wa kitanzania kuwa ni vijana Maamuma, waoga, wasiojielewa, wapowapo tuu. Lakini Tathmini yangu ipo Kinyume kabisa na maoni yao...
Back
Top Bottom