Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma wamewasaliti wananchi.
Mahinyila amesema CHADEMA ni chama imara chenye misingi yake, hivyo uwepo wa wasaliti...