taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  2. JamiiForums Tanzania Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WASOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan. Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi. Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  6. JamiiForums Tanzania “JKT Ni Roho ya Taifa, Sio Biashara ya Wachache”

    Makala ya Kwanza: Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za...
  7. JamiiForums Tanzania JKT ni roho ya Taifa, siyo biashara ya wachache

    Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za kujenga nchi yao. JKT...
  8. JamiiForums Tanzania Tulipofikia kama Taifa

    Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na maisha. Yupo tayari kwa lolote. Je, Nini kimesababisha hali hii? A). Malezi mabovu ya wazazi B)...
  9. JamiiForums Tanzania si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika …. kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi...
  10. JamiiForums Tanzania Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

    Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Nguvu ya CCM ni Umoja wa Chama na Umoja wa Taifa

    Dkt. Bashiru Ally Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru Nguvu ya CCM na uwezo wake...
  12. JamiiForums Tanzania Mama umenipa moyo jinsi wanavyokuhanya. Wewe ni Mama wa taifa, mama la mama

    Heee! Umenipa moyo sana. Leo kupo kimyaaa! Wanaongelea mashimoni huko kama panyabuku. Hasa! Na bado!
  13. JamiiForums Tanzania Timu yangu bora ya CHAN 2024 ni Madagascar

    Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana. Hata lile goli la tatu nahisi refa hakufanya maamuzi baada ya mchezaji wa madagascar kusikumwa chini refa hakupuliza kipyenga. Taifa stars nimeseme ukweli mlibahatisha tu kuwafunga madagascar...
  14. JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
  16. JamiiForums Tanzania Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

    Asalaam aleykum waungwana wote, Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

    Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania. Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na mwanadam na kamwe hatoshindana na mwanadam. Palikuwepo na watawala wenye kiburi mpaka wakashindana na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Uchawa na kubebana chanzo cha kufanya vibaya Taifa Star CHAN-2025

    wakuuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza...tusitafute mchawi wa kwanini tunashindwa na timu kama Madagscar au Sudan nchi ambazo hazipo kwenye top 20 ya ligi bora za Africa kwa wachezaji wa nyumbani.. kilichotugharimu 1. Benchi la ufundi buree hamna kitu pale...watu wamewekwa pale kisiasa ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…