toto2000
Member
- Aug 24, 2025
- 24
- 7
Dkt. Bashiru Ally
Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru
Nguvu ya CCM na uwezo wake unatokana na Umoja wa Chama na Umoja wa Kitaifa. Nashukuru Mwenyekiti umeisimamia kazi hii vizuri — kuunganisha Chama na kuunganisha Taifa.
Nchi yetu inaendelea kufanya vizuri katika maeneo mengi. Tupo hapa kuwanadi wagombea wetu kwa ubora wao, kuinadi Ilani ya CCM kwa ubora wake na kusimamia utendaji wa miaka mitano iliyopita
Tunaomba muendelee kukiamini Chama Cha Mapinduzi.
#Haijawahikutokea
#kurayakwanzakwasamia