taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wanavipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao (06)

    Utatuzi wao wa hili tatizo ni kuwatumia wananchi sms za kutoa taarifa za utapeli. Binafsi nimechoka kutuma hizo taarifa ambazo hazina mrejesho wowote. Ila bwana Kingambe, anaubunifu wake ambao ni kiboko ya matapeli yaani badala ya wananchi kuogopa matapeli, kwa mfumo wa bwana Kingambe, matapeli...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wanavipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (05)

    Ikiwa vocha imenunuliwa katika mtandao uleule na ikatumika ndani ya mtandao uleule faida yote na cash ile iliyolipwa wakati wa kununua ile vocha itakuwa ni haki ya mtandao ule iliyowekwa ile vocha. Pia endapo vocha imenunuliwa katika mtandao mwingine na kutumika katika mtandao mwingine. Cash...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu Victoria Mwanziva: Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa afuatilia maelekezo ya Mhe. Rais kwenye Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb). Ndugu Victoria Mwanziva amefika Wizarani akiwa na lengo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Samia Housing Scheme itaongeza pato la Taifa

    Nyumba la Taifa (NHC) ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS) wa nyumba 5000 pekee unatarajiwa kutoa ajira zipatazo 26,400(direct 17,600 na indirect 8,800), taarifa hiyo imetolewa na Meneja Habari na Uhusiano wa NHC. Amesema utakuza mapato ya serikali mfano mradi wa SHS 5000 unatarajiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Taifa ya Maendeleo na kuzingatia utawala bora

    UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo sharti yaeleweke na kukubaliwa na jamii au...
  7. JamiiForums Tanzania Ukoma wa Dodoma unavyoliathiri Taifa

    Yaani mji mzima umejaa wakoma na upofu, halafu haya ndio makao makuu ya nchi. Hii taswira inafikirisha sana, sijui kwanini walichagua mahali penye laana ya ukoma na upofu ndio pawe makao makuu ya nchi? Matokeo yake uchumi wetu una ukoma, soka letu lina ukoma, maendeleo yetu yana ukoma, miradi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maana halisi ya Taifa la kesho na kuliandaa

    Moja katika rasilimali ya Taifa ambayo ni muhimu sana kuifahamu ni vijana, hawa ndio nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa sasa na hata wa badae. Lakini pia watoto ni nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa baadae. Hvyo watoto na vijana ni jamii ya watu watakaoishi baadae kwa uendeshaji wa maisha Yao Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa stars mtadi wa huzuni kitaifa mpaka lini?

    Leo tumetolewa na Uganda mashindanoni,kabla yahapo tulitolewa na Zaire katika mashindano ya World cup mchujo, miaka ishirini ilopita tulitolewa na Burundi kufuzu Afcon kabla ya hapo tuliwahi kutolewa na Rwanda kufuzu world cup ligi, hii haibu na huzuni kitaifa mbona haihojiwi bungeni? TFF...
  10. JamiiForums Tanzania Idugunde nimekuwa very wise. Muda wote convern yangu ni juu ya mustakabali wa taifa langu. Masuala ya mpira wa Ulaya hata Bongo sifuatilii

    Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo. Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal. Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
  11. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani

    Waziri Masauni amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi mkasa huu utakavyobadilisha Taifa la leo!

    Machozi yakimbubujika Zakia (KE: Sio jina halisi) kamavile mpira wa maji ya kumwagilia bustani, yakidondoka mpaka kwenye kona ya kidevu! jicho jekunduu...akashusha simu kutoka sikioni kwa haraka nakutaka kuitupa ukutani! lakini kwa kuishiwa nguvu aliishia kuigonga gonga kwenye mapaja yake akiwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike kwa viongozi wetu tupate timu bora ya taifa letu la Tanzania?

    Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa. Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
  14. JamiiForums Tanzania Donald Trump amtaja Rais Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’

    Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi. Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika Pennsylvania, akidai alichofanyiwa na FBI ni moja ya unyanyasaji wa kushtua katika historia ya Marekani...
  15. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wetu wa elimu na matokeo kwa Taifa

    Nawasalimu wote kwa jina la taifa hili la thamani kwa kila mmoja wetu na mali yetu ambayo Mungu wetu alitubariki kuwa nayo, tunaamka kila asubuhi kulijenga hili taifa kwa nguvu zetu zote tukivuja jasho lenye chachu kubwa ya kuendeleza taifa letu. Wengi wa wananchi wa taifa hili kwa asilimia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu?

    Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wana vipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao (01)

    Baada ya kufeli chuo kikuu akiwa amebakisha mwaka mmoja, kwa kukosa ada, bwana Juma Ramadhani Kingambe akarudi nyumbani na hakuwa mtu mwenye kukata tamaa bali alikubaliana na kile kilichomkuta na kupambana ili maisha yaende. Alirudi kwao Dar es Salaam akitokea Dodoma alipokuwa anasoma. Ila...
  18. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Taifa Stars iitwe Mandonga Stars

    Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars. Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mungu wakumbuke watanzania, likumbuke taifa lako teule Tanganyika

    Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe. Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania. Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…