Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
Leo tumetolewa na Uganda mashindanoni,kabla yahapo tulitolewa na Zaire katika mashindano ya World cup mchujo, miaka ishirini ilopita tulitolewa na Burundi kufuzu Afcon kabla ya hapo tuliwahi kutolewa na Rwanda kufuzu world cup ligi, hii haibu na huzuni kitaifa mbona haihojiwi bungeni?
TFF upende usipende timua huyo kocha mzawa haraka sana . Nenda Ghana kachukue kocha yule mghana aliyenoa timu yao ya vijana wa miaka 17 ambao walitwaa world cup. Mchukue yule kocha na benchi lake la ufundi lote . ukiwapa timu ya vijana wa kitanzania miaka miwili tutawika zaidi ya Nigeria na Cameroon.
Huyu kocha mzawa umemleta Taifa stars atuongezee huzuni kitaifa tuu na wala sio kutuinui kisoka . hana mafanikio yeyote hata lile fanikio la kuipa timuye ubingwa wa ligi kuu hana.
mheshimiwa raisi wa TFF ulikuja TFF kufanya nini?