Donald Trump amtaja Rais Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi.

Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika Pennsylvania, akidai alichofanyiwa na FBI ni moja ya unyanyasaji wa kushtua katika historia ya Marekani.

Trump, 76, alitumia muda mwingi kuikosoa FBI kwa kufanya upekuzi nyumbani kwake na kuchukia nyaraka walizosema zina siri ya nchi japokuwa mwenyewe alipinga kuwa siyo nyaraka za siri.

0000000000000000000

Former president calls Biden ‘enemy of state’ at Pennsylvania rally

Donald Trump has called President Joe Biden an "enemy of the state" at his first rally since the FBI searched his Florida resort for sensitive files.

Speaking to thousands of supporters in Wilkes-Barre, Pennsylvania, the ex-president accused Mr Biden of weaponizing the FBI against him.

The raid was "one of the most shocking abuses of power by any administration in American history", Mr Trump claimed.

He was in the state to promote two Republican candidates.

Dr Mehmet Oz is running for the US Senate, and state Senator Doug Mastriano is in the race to become Pennsylvania's next governor.

Both spoke only briefly - as always, the rally on Saturday night was really about one person: the headliner.

Mr Trump, 76, spent the first part of his nearly two-hour speech criticising the FBI search early last month.

FBI agents conducting the search found dozens of empty folders marked as classified, and top secret files were recovered from his personal office.

Mr Trump, who is being investigated over his handling of classified records, denies wrongdoing.

Apart from the raid, the former president returned to familiar themes at the Pennsylvania rally: false claims that the 2020 election was stolen from him, attacks on rivals in the Democratic Party, and promises to "save our country".

Several times, he called for people who deal drugs to receive the death penalty.

Here are four key things you need to know about Donald Trump's rally.

Source: BBC
 
Huyo Biden kwanza hata haelewagi anachofanya, ni mgonjwa wa Dimentia,,, anatekeleza matakwa ya watu wengine kina Pelosi, Schumer na Obama.

FBI kumvamia Trump ile ishu ilikuwa personal attack .
 
Jana alijaza kinyama watu kuliko Biden
 
Trump anatafuta kupigwa shaba ,anafanya masihara na taifa lililotoka kwenye wakat mgumu,kisa kapokea pesa za Putin ,time will tell hata sumu watamwekea maana hana utaifa
 
Huyo Biden kwanza hata haelewagi anachofanya, ni mgonjwa wa Dimentia,,, anatekeleza matakwa ya watu wengine kina Pelosi, Schumer na Obama.

FBI kumvamia Trump ile ishu ilikuwa personal attack .
Tatizo lako unaleta ushabiki, Trump yeye analeta siasa za viongozi wa kiafrika kwenye taifa la watu wanaojielewa, lenye misingi imalaNa kama USA, lisingekuwa taifa imala, jamaa hata baada ya kushindwa uchaguzi asingetoka, .USA, sio kama nchi zetu kuwa taasisi zote zinapokea maagizo toka kwa rais hasa, vyombo kama CIA, FBI, na mahakama..uliiona hata baada ya FBI, kuvamia nyumba ya Trump na kusema kuwa kuna documents za siri wamezipata, mahakama ilitoa amri gani kwa department of justice? na wakautii?
 
Trump, 76, alitumia muda mwingi kuikosoa FBI kwa kufanya upekuzi nyumbani kwake na kuchukia nyaraka walizosema zina siri ya nchi japokuwa mwenyewe alipinga kuwa siyo nyaraka za siri.
Mtenda akitendewa huhisi kaonewa.

Mwaka 2016 alimsakama sana Hillary Clinton kwa zile email za kikazi zilizotumika kwenye akaunti yake binafsi na kusema alistahili kuwa jela, Leo yamemkuta analia Lia.
 
Trump anatafuta kupigwa shaba ,anafanya masihara na taifa lililotoka kwenye wakat mgumu,kisa kapokea pesa za Putin ,time will tell hata sumu watamwekea maana hana utaifa
Apgwe Shaba na nani unafikiri Africa ambako viongozi hawana uvumilivu kukosolewa mpk kutaka kuua wenzao
 
Trump anatafuta kupigwa shaba ,anafanya masihara na taifa lililotoka kwenye wakat mgumu,kisa kapokea pesa za Putin ,time will tell hata sumu watamwekea maana hana utaifa
Wale hawana upumbavu kama wa ccm
 
USA haiongozwi kama nchi za Africa kwamba rais anaweza kuitumia idara anavyotaka yy kuua wanaomkosoa.
Haya Ni maajabu ya Dunia kwa kweli.

Yaani mpaka wewe Mvaa KOBAZI na SURUALI kimini umefikia hatua ya Kuisifia Marekani?

Hakika Dozi za huyu Mkenya MK-254 zimeanza kuwaingia nyie Wavaa KOBAZI na Vidoti vyeusi kwenye Uso.
 
Back
Top Bottom